Anda di halaman 1dari 12

Chakula (Food)

Vikolezo (Condiments)

Kikolezo (Condiment)
Kitoweo (Dressing)
Kiungo (Spice)
Sosi (Sauce)
Mchuzi (Gravy)
Kachumbari (Salad)
Saladi (Green salad)
Achari
Aioli
Asali
Chatne ya maembe
Chumvi
Chumvi ya bahari
Dipu ya vitunguu
Guakamole (Rojo ya parachichi)
Haradali ya asali
Haradali ya Dijoni
Haradali ya Kiingereza
Haradali ya Kijerumani
Haradali ya manjano
Haradali ya nafaka zisizokobolewa
Haradali ya unga
Harisa
Hummus

Relish / Pickles
Aoli
Honey
Mango chutney
Salt
Sea salt
Onion dip
Guacamole
Honey mustard
Dijon mustard
English mustard
German mustard
Yellow mustard
Wholegrain mustard
Powdered mustard
Harissa
Hummus

Jemu
Jibini ya nacho
Kachumbari
Kachumbari ya kabichi
Kechapu
Kitoweo cha ranchi
Kitoweo cha visiwa elfu
Kiziduo cha lavani / vanila
Mafuta ya zeituni
Majarini
Malai machungu
Mayonesi
Mchuzi
Mchuzi wa bizari
Mchuzi wa nyama
Mraba
Rojo ya biringani
Rojo ya jibini
Rojo ya nyanya
Salsa
Sambali
Saukrauti
Shira ya mshira
Siagi
Siagi ya karanga
Siki ya balsamiki
Siki ya kimea
Siki ya mvinyo
Siki ya sida ya matofaa
Siki ya wali
Sosi kali
Sosi tamu-chachu
Sosi ya B.B.Q.
Sosi ya Bearnia
Sosi ya hoisin
Sosi ya karanga
Sosi ya Kiholanzi
Sosi ya Kiingereza
Sosi ya Kitatari
Sosi ya kokteli
Sosi ya maplamu

Jam
Nacho cheese
Salad / Pico de gallo
Coleslaw
Ketchup
Ranch dressing
Thousand Island dressing
Vanilla extract
Olive oil
Margarine
Sour cream
Mayonnaise
Gravy
Curry
Broth
Marmelade
Baba ghannouj
Cheese spread
Tomato paste
Salsa
Sambal
Sauerkraut
Maple syrup
Butter
Peanut butter
Balsamic vinegar
Malt vinegar
Wine vinegar
Apple cidar vinegar
Rice vinegar
Hot sauce
Sweet-and-sour sauce
Barbecue sauce
Barnaise sauce
Hoisin sauce
Peanut sauce
Hollandaise sauce
Worcestershire sauce
Tartar sauce
Coctail sauce
Plum sauce

Sosi ya samaki
Fish sauce
Sosi ya soya
Soy sauce
Tahini
Tahini
Vinagreti
Vinaigrette
Wasabi
Wasabi
Posted by MZ at 9:45 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Tuesday, August 26, 2014


Familia ya Vibuyu (Cucurbitaceae)

Familia ya vibuyu (Cucurbitaceae; Gourd family)


*Note: The eggplant / aubergine belongs to the Solanaceae family.
Biringani
Eggplant / Aubergine
Boga
Pumpkin
Chayote
Chayote
Kibuyu
Gourd / Squash
Kibuyu cha demani
Autumn squash
Kibuyu cha kiangazi
Summer squash
Kibuyu cha kipupwe
Winter squash
Kibuyu cha manjano
Yellow squash
Kibuyu cha spageti
Spaghetti squash
Kibuyu cheupe
White squash
Kibuyu kichungu
Bitter gourd
Mung'unye
Zucchini (Courgette)
Tango
Cucumber
Tango bila mbegu
Seedless cucumber
Tango la achari
Pickle
Posted by MZ at 10:42 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest

Labels: Chakula (Food)

Friday, January 25, 2013


Aina za Njugu (Types of Nuts)

Aina za njugu (Types of nuts)


Aramoni
Chestnut
Fistiki (Pistasho)
Pistachio
Hazeli
Hazelnut
Jozi
Walnut
Karanga
Peanut
Korosho
Cashew
Indian
Kungu
almond
Lozi
Almond
Makadamia
Macadamia
Nazi
Coconut
Njugu ya Brazili
Brazil nut
Njugu ya mfune
Beech nut
Njugu ya mginko
Ginkgo nut
Njugu ya mkola
Cola nut
Njugu ya msonobari Pine nut
Pekani
Pecan
Peanut
Siagi ya karanga
butter
Posted by MZ at 6:59 PM 1 comment:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Tuesday, May 17, 2011


Aina za Mkate (Types of Bread)

Aina za mkate (Types of bread)


Mkate (Bread)
Bageli
Fimbo za mkate
Kinyunya ujeya
Krwasani
Mikate midogo
Mkate mgumu wa
Kiskandinavi
Mkate mgumu wa rai
Mkate mweupe
Mkate mweusi wa Kirusi
Mkate mweusi wa rai
Mkate usiotiwa hamira
Mkate wa Kieire
Mkate wa Kifaransa
Mkate wa Kigiriki
Mkate wa Kihindi
Mkate wa Kiingereza
Mkate wa mhindi
Mkate wa mtindi
Mkate wa nafaka
zisizokobolewa
Mkate wa rai
Mkate wa rai wa Kidachi
Mkate wa rai wa Kideni

Bagel
Breadsticks
Phyllo dough
Croissant
Bread rolls
Scandinavian cracked
bread
Cracked rye bread
White bread
Russian pumpernickel
Black rye bread
Unleavened bread
Irish bread
French bread (Baguette)
Greek bread
Indian naan bread
English bread
Cornbread
Buttermilk bread
Multigrain bread
Rye bread
German rye bread
Danish rye bread

Mkate-hala
Mkate-pita
Skonzi
Tortila (Chapati ya mhindi)

Hallah bread
Pita bread
Biscuit (Scone, Roll)
Tortilla

Posted by MZ at 6:26 PM No comments:


Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Aina za Viungo (Types of Spices)

Aina za viungo (Types of spices)


Kiungo (Spice)
Bizari
Dalasini
Haradali nyeupe
Haradali nyeusi
Hawaji
Iliki
Jira
Karafuu
Kisibiti
Kungumanga
Masala
Mbegu za mpopi
Pilipili iliyosagwa
Pilipili kali
Pilipili manga

Curry powder
Cinnamon
White
mustard
Black mustard
Turmeric
Cardamom
Cumin
Clove
Caraway
Nutmeg
Masala
Poppy seeds
Ground
pepper
Chili pepper
Black pepper

Pilipili
Pilipili
Pilipili
Pilipili
Pilipili
Pilipili

mbuzi
nyeupe
ya Jamaika
ya kijani
ya pinki
zilizookwa

Paprika
White pepper
Allspice
Green pepper
Pink pepper
Dried chiles
Crushed
Pilipili zilizopondwa
chiles
Jalapeo
Pilipili-halapenyo
pepper
Reteni
Juniper berry
Tangawizi
Ginger
Cayenne
Udaha
pepper
Five spice
Unga wa viungo vitano
powder
Uwatu
Fenugreek
Cajun
Viungo vya Kikajuni
seasoning
Zafarani
Saffron
Posted by MZ at 5:25 PM 2 comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Matunda ya Tropiki (Tropical Fruits)

Tunda la tropiki (Tropical fruit)


Cherimoya
Duriani
Embe
Feijoa
Fenesi
Gakachika*
Gulabi

Cherimoya
Durian
Mango
Feijoa
Jackfruit
Horned melon
Lychee

Izu (Ndovi)
Plantain
Jabotikaba (Zabibu ya
Jaboticaba
Brazili)
Joho
Persimmon
Kinyomoro*
Tamarillo
Kiwi
Kiwi
Komamanga
Pomegranate
Kunazi
Jujube
Kuyu
Fig
Longyani
Longan
Mangostana
Mangosteen
Nanasi
Pineapple
Ndizi
Banana
Papai
Papaya
Pasheni
Passion fruit
Pea la Asia
Asian pear
Pera
Guava
Pungate
Prickly pear
Sapodila
Sapodilla
Shelisheli
Breadfruit
Shokishoki
Rambutan
Tango tamu
Pepino
Tunda-nyota
Starfruit
Posted by MZ at 9:12 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Matunda yenye Kokwa na ya Nusufamilia ya Matofaa

Tunda lenye kokwa (Drupe)


Tunda la nusufamilia ya matofaa (Pome fruit)
Aprikoti
Cheri
Fyulisi
Nektarini
Pea

Apricot
Cherry
Peach
Nectarine
Pear

Safarjali
Quince
Tende
Date
Tofaa
Apple
Zambarau
Plum
Zambarau ya
Japanese plum
Kijapani
Posted by MZ at 7:52 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Aina za matikiti

Aina za matikiti
Kantalupu
Tikiti
Tikiti manjano
Tikiti-asali
Tikitmaji

Cantaloupe
Muskmelon
Canary melon
Honeydew melon
Watermelon

Posted by MZ at 7:26 AM No comments:


Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Monday, May 16, 2011


Aina za Beri (Types of Berries)

Aina za beri (Types of berries)


Beri nyekundu
Beri nyeusi
Buluuberi
Buluuberi ya
mwitu
Kranberi
Rasiberi
Stroberi
Tunda bukini
Tunda bukini
jekundu
Tunda bukini
jeusi
Zabibu

Lingonberry (Red
whortleberry)
Blackberry
Blueberry
Bilberry
Cranberry
Raspberry
Strawberry
Gooseberry
Redcurrant
Blackcurrant

Grape
Red grapes (Purple
Zabibu nyekundu
grapes)
White grapes (Green
Zabibu nyeupe
grapes)
Black grapes (Blue
Zabibu nyeusi
grapes)
Posted by MZ at 11:13 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Matunda ya Jenasi ya Machungwa (Citrus Fruits)

Tunda la jenasi ya machungwa (Citrus fruit)


Balungi
Balungi la
kijani
Chenza
Chungwa
Chungwa
dogo
Chungwalimau
Danzi
Furungu
Kangaja
Limau
Ndimu

Grapefruit
Pomelo
Tangerine
Orange
Kumquat
Bergamot
Bitter
orange
Citron
Mandarin
Lemon
Lime

Posted by MZ at 10:46 PM No comments:


Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Chakula (Food)

Sunday, May 15, 2011


Aina za Viyoga (Types of Mushrooms)

Aina za viyoga (Types of mushrooms)


Uyoga (Fungus)
Kiyoga "Sikio la mti"
Wood ear
Kiyoga cha ardhi
Truffle
Chanterelle (Golden
Kiyoga cha dhahabu
mushroom)
Kiyoga cha kulika
Edible boletus
Kiyoga cha maziwa
Milk-cap
Kiyoga-sifongo
Morel (Sponge mushroom)
Kiyoga-tembo
Agaric
Rusula ya kijani
Green russula
Uyoga "Shiitake"
Shiitake mushroom
Uyoga uliolimwa
Cultivated mushroom
Uyoga wa kipupwe
Winter mushroom
Uyoga wa mataka
Ink cap mushroom
Uyoga-chaza
Oyster mushroom
Uyoga-mainzi mauti
Death cap mushroom
Uyoga-mainzi mwekundu
Fly agaric