Anda di halaman 1dari 30

SOMO

MAISHA NA IBADA ZA
LEO.
Fungu Kuu: Warumi
7:24
Ole Wangu, Maskini

yake maalumu kupuuzwa, na wale


wanaoiga mitindo ya marekani.
Nilirejesha katika kitabu cha Torati
22:5: mwanamke asivae mavazi
yampasayo mwanamume wala
mwanamume
asivae
mavazi
yampasayo
mwanamke;
kwa
maana kila afanyaye mambo hayo
ni machukizo kwa Bwana, Mungu
wako. Mungu asingelikuwa na
watu
wake
wanaoitwa

yaliyo haribika juu ya


jambo hili wamejadiri
swala la ufupishaji wa
nguo hadi mtazamo
wao
wa
kiroho
umechanganyikiwa
kiasi
kwamba
wanawaona wanaume

{4T 629}
Shetani
amevumbua
mitindo
ya
mavazi
kwa
dhumuni
la
kuzamisha
fikra
za wanawake
katika swala la
mavazi ili waweze
kulifikiria
hata
angalau kidogo.

mitindo ya ulimwengu, tunapata


shida. Kwa kuchukua hatua katika
mwenendo
huo
wanajitenga
wenyewe kwa Mungu, na kukataa
kujipamba kwenye mioyo yao.
Hawapaswi kuhisi uhuru kwa
kutumia muda waliopewa na
Mungu
kwenye
urembo
usio
maana wa mavazi yao. Ni kiasi
gani kizuri muda huu ungeweza
kutumika
katika
kutafakari

{1T 521}
Ningependa kwa
dhati
uswa
wa
urefu wa nguo, na
ningesema
kwamnba inchi tisa
kwa kulingana na
mawazo
yangu
kuhusu jambo hili
kama ninavyoweza
kulielezea
jambo
hili katika inchi

1 TIMOTHEO 4:12
Mtu awaye yote
asiudharauujana
wako, bali uwe
kielelezo
kwao
waaminio, katika
usemi
mwenendo,
upendo
imani na
usafi.

yeye aliyewapatia wanafunzi wake


unaelewa hatari inayopatikana
kwa kupenda mavazi katika wakati
wetu na ametuma kwetu ujumbe
wa onyo. Je tutatilia maanani
maonyo haya na kuwa na hekima?
Maonyesho
ya
mavazi
yanaendelea kuongezeka. Mwisho
bado haujafika. Mitindo hudumu
kubadilika, na dada zetu hufuata
mkondo wake, bila kujali muda

{4T 641}
Maneno yetu, matendo,
yetu mavazi yetu ni ni
wahubiri hai wa kila siku,
hutukusanya kwa Kristo
au kututenga mbali naye.
Hili siyo jambo la kipuuzi
la
kukwepwa
kwa

{4T 641}
Ni aibu kwa dada zetu
kusahau tabia zao takatifu
na wajibu wao kwa Mungu
na kuiga mitindo ya dunia.
Siyo kwamba hatufahamu
bali ni ukaidi wa mioyo yetu.
Hatuwezi kuendeleza mivuto
yetu kwa mwenendo huo. Ni

machafu
ya
wanaume
na
wanawake. Kama moyo na tabia
vingekuwafunuliwa
,
katu
kusingekuwa na chochote juu yao
kuhusu mbingu. Hawana wazo la
kweli kuhusu utaratibu, jambo
lakuvutia
na
mwenendo
uliotakaswa
ambao
Mungu
anahitaji kila anayekuja mbele
zake kumuabudu awenao. Mambo
haya hutoa msisitizo gani kwa

KICHO NDANI YA
HABAKUKI 2:20
KANISA
Lakini Bwana
yumo ndani ya
hekalu
lake
takatifu; dunia
yote
na
inyamaze kimya
mbele zake.

{5T 495}
Ni kweli kwamba heshima
katika nyumba ya Mungu
karibia imetoweka kabisa.
Mambo
matakatifu na
mahali
patakatifu
hapatambuliwi
,
matakatifu
na

wenye kuamini, nyumba ya


Mungu duniani ni mlango
wa kuingia mbinguni. Wimbo
wa sifa, maombi, maneno
yanenwayo na wawakilishi
wa Krtisto, ni mawakala
waliochaguliwa na Mungu,
kuwaandaa watu kwa ajili ya
kanisa la mbinguni, kwa

{5T 491}
Wakristo wanaweza kujifunza
jinsi gani wanapaswa kupajali
mahali
ambapo
Mungu
hukutana
na
watu
wake.
Kumekuwa
na
mabadiliko
makubwa, siyo kwa uzuri bali
kwa ubaya, kwa matendo na
desturi
za
watu
ukirejea
kwenye ibada ya kidini. Vitu

{5T 492}
Wakati watu wa Mungu
wanapoingia
kwenye
ibada,
wanapaswa
kufanya hivyo kwa kicho,
wakitembea
kimya
kuelekea
kwenye
viti
vyao. mazungumzo ya

{5T 493}
Na wote watoke nje bila kusukumana
au kuongea kwa sauti kubwa, wajisikie
kwamba wako mbele za Mungu,
kwamba macho yake yako juu yao, na
kwamba imewapasa kutenda kama
vile wako mbele zake wakimtazama.
Pasiwepo na mtu anayesimama kutoa
umbeya mahali watu wanapopita.
Maeneo
ya
kanisa
yanapaswa
kupambwa na heshima takatifu.
Haipaswi
kufanywa
mahali
pa

Mungu mara
nyingi
amegeuza
uso
wake
asiwatazame
wale
waliokusanyi
ka
kumwabudu.

{5T 499}
Mawazo ya watu wengi mara nyingi
yamekuwa
yakifuatilia
nyaraka
zinazohusu mavazi, na hivyo mawazo
mengi ambayo yasingepaswa kuingia
mioyoni mwa watu wa Mungu sasa
yanaingia. Mungu anapaswa kuwa kiini
cha mawazo ya watu na ibada. Na
chchote kile kinachovuta fikra kutoka
katika utaratibu, huduma takatifu ni
hatia kwake. Maswala yote ya mavazi
yanapaswa kuongozwa kwa umakini

WITO
Warumi 12:1-2
1.Basi,
ndugu
zangu,
nawasihi, kwa huruma zake
Mungu, itoeni miili yenu iwe
dhabihu iliyo hai, takatifu, ya
kumpendeza Mungu, ndiyo
ibada yenu yenye maana. 2.
Wala msiifuatishe namna ya

Mungu
na
Akubar
iki

Anda mungkin juga menyukai