Anda di halaman 1dari 11

AFYA YA NDOA

NDOA NI CHOMBO MUHIM KITAKATIFU


AMBACHO MUNGU HUTUMIA KUDHIHIRISHA
UPENDO WAKE KWA MWANADAM.AFYA PANA
NA IMARA YA NDOA HUFANYA CHOMBO HIKI
KUWA IMARA NA MUNGU HUFURAHI.

MADHARA YA KUTOKUWA NA AFYA


BORA YA NDOA.
YAPO MATATIZO MENGI AMBAYO
HUTOKEA KWA WANANDOA KWA SABABU
YA UDUNI WA AFYA YA NDOA.MIONGONI
MWA HAYO NI;
1.KUJARIBIWA KUTOKA NJE YA NDOA
2.KUTOAMINIANA
3.KUACHANA
4.KUDHULIANA NA HATA KUUANA
5.UGUMBA INGAWA KWA BAADHI YA
WATU
HUWA NI MUNGU
ANARUHUSU WAWE
WAGUMBA

SABABU KUBWA NI KUTOTIMIZA IPASAVO


TAKWA KUU LA NDOA-TENDO LA NDOA
A.UGUMU WA MIFUPA INAYOSHIKILIA VIA VYA
UZAZI ILIYO KTK KIUNO(PELVIS).
B.KUTOFANYA MAZOEZI HASA YA KIUNO
C.KURUHUSU UBONGO UWAFIKILIE
WANAWAKE /WANAUME WA NJE BADALA YA
MWENZI WAKO
D.MSONGO WA MAWAZO
E.UWEZO MDOGO WA KUTENGENEZA
MBEGU ZA KIUME NA MANII.
F.UWEZO MDOGO WA GARI KUSIMAMA
WAKATI WA SAFARI

DAWA
MIWA,TANGAWIZI,ASALI,MAZIWA
FRESH.VYAKULA VINAVYOVUNWA CHINI YA
ARDHI(KARANGA,NJUGU,MAGIMBI,VIAZI
UTAMU),NAZI,SOYA,NJEGERE,SAMAKI
MCHEMSHO.

MASHARTI
-HAKIKISHA MAWAZO YOTE YA KIMAPENZI YAKOKWA
MKE/MME WAKO TU.
-UWE NA MTAZAMO CHANYA KWA MKE/MME WAKO.
-UWE NA MTAZAMO CHANYA KWA MISONGO
YOTE,CHANGAMOTO ZOTE ULIZONAZO
-FANYA MAZOEZI YA KIUNO
-LAINISHA MIFUPA YA KIUNO NA PINGILI ZA
MGONGO(LIMPAGO) KWA MAJI YA MOTO
-funga kusafiri kwa mfululizo wa siku tatu-saba
-CHUNGUZA KAMA VIA VYAKO VYA UZAZI HAVINA
MAAMBUKIZI YEYOTE.

JINSI YA KUTUMIA DAWA


SIKU

ASUBUHI

MCHANA

JIONI

Chai ya
tangawiz+mazi
wa+mdalasin+
asali kwa
mihogo

Ugali dona
Samaki
kidogo
mchemsho+oth
+njegere+matu ers kidogo
nda+vingine

2.

Chai kwa viazi


utam

ndizi tatu+soya
kwa
wingi+matunda
+vingine

Dagaa wa
kukaanga+othe
rs kidogo

Chai kwa
magimbi

Ugali
+maharage
kwa
wing+matunda

NJUGU KWA
WINGI +others
kidogo

NYONGEZA

-MDA WA ASUBUHI MPAKA MCHANA-TAFUNA


KARANGA ROBO KILO-NUSU
KILO,KUTENGENEZA MANII KWA WINGI
-MCHANA MPAKA JIONI-KULA MIWA PINGILI
KUMI-ISHIRINI-KUTENGENEZA OXYTOSIN YA
KUMSIMAMISHA MZEE
-BAADA YA NUSU SAA YA CHAKULA CHA
USIKU-KUNYWA JUICE YA NAZI/DAFUKUTENGENEZA VISCOCITY (KUVUTIKA) YA
MANII

MAPOKEZI YA MAMA
MWANAMKE MAKINI KWA NDOA YAKE
ATAFANYA YAFUATAYO.
-ATAOSHA MWILI NA KUJIPAKA MARASHI
ANAPOMSUBIRI MMEWE
-ATAVALIA MAVAZI YA KUMSUBIRI MME WAKO
-ATAMWANDALIA MMEWE MAJI YA MOTO YA
KUWEKA MIGUU NA KUOGA
-ATATANDIKA KITANDA KWA BED COVERS
ZENYE RANGI YA KUVUTIA KAMA PINKI N.K
-ATAMKARIBISHA MMEWE MEZANI NA
KUMNAWISHA YEYE MWENYEWE

BAADA YA IBADA
MAMA AWE MSTARI WA MBELE
KUMKARIBISHA BABA KWA MAPOZI
YALIYOTUKUKA KWA AJILI YA MAPUMZIKO
NA KUANZA SAFARI NA BABA ATAKUWA
DEREVA WA SAFARI AKIZINGATIA
MASHAURI YA BIBLIA KATIKA KITABU CHA
-WIMBO ULIO BORA sura ya 4 na 5.

Mwisho
SHETANI ASITUSHINDE KATIKA NDOA
ZETU,UWEZO WA KUMSHINDA MUNGU
AMEUWEKA KATIKA MIKONO NA VIUNO
VYETU.
BWANA AWE NAWE/NANYI
AMEN.
DR.MWAI