HabariZA
za
NISHATI
nishati&MADINI
&madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Toleo
No.151
51
Toleo No.
Limesambazwa
kwa Taasisi
Idaranazote
MEM
2015 22 - 28, 2016
Limesambazwa
kwana
Taasisi
Idara
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari ,Desemba
Wabunge
Somahabari Uk.2
Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo
>>5
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
TAHARIRI
PROFESA MUHONGO
AKUTANA NA WAZIRI
WA NISHATI ZANZIBAR
Wachimbaji wa Jasi,
Umoja ndiyo nguvu yenu
Hivi karibuni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Muhongo, alifanya ziara katika machimbo ya madini ya Jasi
Mkoani Lindi na kuzungumza na wachimbaji wa madini hayo
mkoani humo.
Baada ya kupata wasaa wa kuzungumza ana kwa ana na
Profesa Muhongo, Wachimbaji wa madini hayo walimweleza
changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu
wa vifaa vya uchimbaji madini, ubovu wa miundombinu ya
barabara hususan kipindi cha masika.
Walisema kuwa katika Kipindi cha Masika barabara
zinakuwa hazipitiki na kuleta changamoto ya usafirishaji wa
madini hayo kwani machimbo husika yapo mbali na barabara
kuu.
Aidha walitaja changamoto nyingine zinazowakabili kuwa
ni kutokuwa na taarifa za kutosha za kijiolojia za maeneo
wanayotaka kufanya uchimbaji, soko kusuasua pamoja na
malipo duni.
Ilielezwa kuwa soko la Tanzania limekuwa likisuasua kwani
wanunuzi walio wengi ambao ni kampuni za saruji tayari wana
mzigo wa kutosha na hivyo hawahitaji mzigo mwingine kwa
sasa.
Aidha Profesa Muhongo alielezwa kuwa kwa sasa
wachimbaji wa madini ya Jasi mkoani humo wanauza madini
hayo nje ya nchi ikiwemo Congo, Rwanda, Malawi, Msumbiji
na Zambia.
Akizungumzia changamoto hizo, Profesa Muhongo aliiagiza
Kamati Maalum inayoshughulika na masuala ya madini ya Jasi
na Makaa ya Mawe iliyo chini ya Uenyekiti wa Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe
kuhakikisha inakuwa na mikakati madhubuti ya kumaliza
changamoto za Wachimbaji hao.
Vilevile alisema kuwa Kamati hiyo kwa kushirikiana na
wadau wengine, itafanya tathmini ya kubaini soko la Jasi ndani
na nje ya nchi ili kuelewa mahitaji yaliyopo na yatakayokuwepo
siku zijazo kwani matumizi ya madini ya Jasi yanaongezeka.
Hata hivyo Profesa Muhongo alitoa angalizo kuwa baadhi
ya changamoto zinatokana na Wachimbaji hao kutokuwa na
Umoja na kuwaasa waunde Umoja ambao ni maalum kwa
wachimbaji wote wa Jasi Tanzania.
Alisema kuwa Umoja huo utawasaida kuwa na kauli moja
wakati wa kusimamia maslahi yao jambo ambalo pia alisema
litakuwa ni suluhu kwa baadhi ya changamoto ikiwemo ya bei
na masoko.
Alisisitiza kuwa Umoja utakaoundwa uwe ni maalum kwa
Wachimbaji wote wa Madini ya Jasi kutoka Mikoa yote ambayo
madini husika yanachimbwa ili kuwa na maamuzi ya pamoja
hususan kwenye masuala ya bei, masoko na pia kubadilishana
uzoefu wa shughuli husika.
Ili mfaidi matunda ya uchimbaji wa Jasi ni vema
mkaachana na umimi, mfanye shughuli zenu kwa kushirikiana
na hili litawezekana mtakapounda Umoja wenu, alisema
Profesa Muhongo.
Na sisi tunazidi kuweka msisitizo kuwa, Kauli ya Profesa
Muhongo ya kuwa na Umoja wa Wachimbaji wa Jasi nchini ni
muhimu kwani changamoto zinazowakumba Wachimbaji hao
zitajadiliwa kwa umoja na kupatiwa suluhisho la pamoja badala
ya mtu mmoja mmoja au kikundi kimoja.
TEL-2110490
FAX-2110389
MOB-0732999263
Bodi ya uhariri
Msanifu: Lucas Gordon
Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James ,
Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya
Five
Pillars of
Reforms
increase efficiency
Quality delivery
of goods/service
satisfAction of
the client
satisfaction of
business partners
satisfAction of
shareholders
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Na Mohamed Saif
achimbaji wa
madini ya Jasi kote
nchini wametakiwa
kuhakikisha
wanaunda Umoja
ili kuwa na uchimbaji wenye tija.
Wito huo umetolewa hivi karibuni
na Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo alipofanya
ziara katika machimbo ya madini ya
Jasi mkoani Lindi na kuzungumza na
wachimbaji wa Madini hayo mkoani
humo.
Alielezwa changamoto mbalimbali
zinazowakabili wachimbaji hao
ikiwemo ukosefu wa vifaa vya
uchimbaji madini, ubovu wa
miundombinu ya barabara hususan
kipindi cha masika ambapo zinakuwa
hazipitiki ikizingatiwa kuwa
machimbo husika yapo mbali na
barabara kuu, kutokuwa na taarifa
za kutosha za kijiolojia za maeneo
husika, soko la kusuasua pamoja na
malipo duni.
Akizungumza wakati wa ziara
hiyo, Mkurugenzi wa mgodi wa
Kwanza Kilwa Mining Products,
Mwalimu Zuberi alisema mgodi
wake unao uwezo wa kuzalisha
kiasi cha tani 15,000 kwa mwezi
lakini kutokana na mahitaji ya soko,
unazalisha tani 5,000.
Aliongeza kuwa, kwa upande wa
Tanzania soko limekuwa likisuasua
kwani wanunuzi wake walio wengi
ambao ni kampuni za saruji tayari
wanao mzigo wa kutosha na hivyo
hawahitaji mzigo mwingine kwa sasa.
Nimezitembelea Kampuni nyingi
hayo.
Mbali na hilo, Profesa Muhongo
alisema Serikali kupitia Kamati
Maalum inayoshughulika na masuala
ya madini ya Jasi na Makaa ya Mawe
iliyo chini ya Uenyekiti wa Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini, Profesa James Mdoe
itahakikisha inakuwa na mikakati
madhubuti ya kumaliza changamoto
zilizopo.
Vilevile alisema Kamati hiyo kwa
kushirikiana na wadau wengine,
itafanya tathmini ya kubaini soko
la Jasi ndani na nje ya nchi. Ni
muhimu tuelewe mahitaji yaliyopo na
yatakayokuwepo siku zijazo kwani
inaonyesha matumizi ya madini ya
Jasi yameongezeka na yanaendelea
kukua, alisema.
Profesa Muhongo alifanya ziara
kwenye machimbo hayo ili kujionea
shughuli za uchimbaji wa madini
ya Jasi mkoani humo pamoja na
kuzungumza na wachimbaji ili
kubaini changamoto zinazowakabili
kwa ajili ya ufumbuzi.
Waziri Muhongo anaendelea
na ziara yake ya siku 14 ya kukagua
shughuli za uchimbaji madini pamoja
na ukaguzi wa miradi mbalimbali ya
Nishati ya Umeme nchini.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Wilaya ya Ilala.
Naye, Mwenyekiti wa Serikali ya
Mtaa Mji Mpya-Majohe, Geofrey
Chacha alisema kuwa ni faraja sana
kupata msaada huo kutoka TPDC
kwani utaweza kusaidia kumalizia
ujenzi wa Ofisi yao.
Mchango huu umetupa nguvu
katika kuwahamasisha wananchi
katika eneo hili kuweza kuwa walinzi
wazuri wa miundombinu hii ambayo
inagusa maslahi ya Taifa letu alisema
Chacha.
TPDC kupitia Sera yake ya
Uwajibikaji kwa Jamii imekuwa
ikisadia Jamii katika nyanja mbalimbali
zikiwemo Maji, Afya, Elimu, Utawala
bora na Michezo.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
10
ampuni ya
TANCOAL
inayochimba Makaa
ya Mawe katika
Mgodi wa Ngaka
mkoani Ruvuma, imewatoa hofu
watanzania na kusema kuwa
madini ya Makaa ya Mawe yaliyopo
yanatosheleza mahitaji ya Viwanda
nchini.
Akizungumza wakati wa ziara
ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
wa Nishati anayeshughulikia
Madini, Prof. James Mdoe,
Mkurugenzi mkuu wa TANCOAL,
Mark MacAndrew alisema kuwa
wana kiasi kikubwa cha Madini ya
Makaa ya Mawe ambayo yanaweza
11
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
12