HabariZA
za
NISHATI
nishati&MADINI
&madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Toleo
No.155
51
Toleo No.
Limesambazwa
kwa Taasisi
Idaranazote
MEM
Limesambazwa
kwana
Taasisi
Idara
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Januari 20 - 26, 2017
Wabunge
TANZANIA MWENYEJI
Somahabari Uk.2
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (wa Nne kutoka Kushoto - mbele
waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam Waandamizi wa Sekta ya Nishati kutoka Shirikisho la Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na
Kati Kuhusu Masuala ya Umeme (Eastern Africa Power Pool - EAPP), uliofanyika jijini Arusha, Alhamisi, Januari 19 mwaka huu.
Mkurugenzi MtendMkurugenzi Mkuu wa
Waziri wa Nishati
Naibu Waziri wa Nishati na
Naibu Waziri wa Nishati na
aji wa TANESCO,
REA, Dk. Lutengano
na Madini, Profesa
Madini, anayeshughulikia
Madini anayeshughulikia
Mhandisi Felchesmi
Mwakahesya
Sospeter Muhongo
UK
Madini Stephen Masele
Nishati, Charles Kitwanga
Mramba
>>4
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
erikali ya Tanzania
imeeleza msimamo
wake wa kutoa
ushirikiano kikamilifu
katika ujenzi wa
miundombinu na njia kuu za
umeme zitakazounganisha
nchi za Afrika Mashariki na
Kati kwa lengo la kuwezesha
upatikanaji wa umeme wa
uhakika na wa bei nafuu kwa
wananchi wa nchi hizo.
Msimamo huo umetolewa
na Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia Nishati, Dkt.t.
Mhandisi Juliana Pallangyo,
wakati akifungua Mkutano
Mkuu wa 24 wa Wataalam
Waandamizi wa Sekta ya
Nishati kutoka Shirikisho la
Nchi za Ukanda wa Afrika
Mashariki na Kati Kuhusu
Masuala ya Umeme (Eastern
Africa Power Pool - EAPP),
uliofanyika jijini Arusha,
Alhamisi, Januari 19 mwaka
huu.
Katika Mkutano huo ambao
ni utangulizi wa Mkutano
Mkuu wa 12 wa Baraza la
Mawaziri kutoka nchi husika
utakaofanyika Ijumaa, Januari
20 mwaka huu, Arusha; Dkt.t.
Pallangyo akimwakilisha Naibu
Waziri wa Nishati na Madini,
Dkt. Medard Kalemani;
alisema kuwa, Serikali ya
Tanzania imedhamiria kutoa
ushirikiano wa dhati kujenga
miundombinu husika ya
umeme ukiwamo Mradi
mkubwa wa umeme wa kilovoti
400 utakaounganisha nchi za
wananchi.
Alitolea mfano mikakati ambayo
imekuwa ikifanywa na Waziri wa
Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Muhongo kwa kushirikiana na Viongozi
na watendaji wengine wa Wizara kuwa
ni pamoja na kuhakikisha Tanzania
inakuwa mwanachama wa mashirikisho
mbalimbali kama hilo la EAPP na hivyo
kunufaika na fursa zinazopatikana kwa
nchi wanachama.
Mpaka sasa nchi wanachama wa
Shirikisho la Nchi zinazoshirikiana katika
masuala ya Umeme (Eastern Africa
Power Pool - EAPP) ni Tanzania, Kenya,
Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan,
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,
Ethiopia, Djibout, Libya na Misri.
Malengo ya Shirikisho hilo ni
kushirikiana katika kuhakikisha
kunakuwepo na umeme wa kutosha, wa
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
TAHARIRI
Wachimbaji Madini
Sekta yenu kuheshimika
inawezekana
Hivi karibuni tumeshuhudia Mafunzo kwa Wachimbaji
Madini Wadogo yaliyofanyika Mpanda, Mkoani Katavi ya
kuwajengea uwezo wachimbaji wadogo ili wafanye shughuli
za uchimbaji zenye tija kwao na Taifa kwa ujumla.
Mafunzo hayo maalum ya siku moja kwa Wachimbaji
Madini Wadogo kutoka maeneo mbalimbali nchini
yalifunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja
Jenerali Mstaafu Rafael Muhuga ambaye alikuwa mgeni
rasmi.
Akizungumza katika mafunzo hayo, Muhuga aliwaasa
kuendelea kuifanya Sekta hiyo ya Uchimbaji madini kuwa ya
heshima zaidi tofauti na miaka ya nyuma ambapo ilionekana
kuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa.
Hivi sasa kupitia sekta hii mafanikio yameanza
kuonekana, kwani baadhi ya wachimbaji wamewekeza
kwenye miradi mingine isiyohamishika. Nawapongeza sana
wale wote walioonyesha juhudi hizo, alisema Meja Jenerali
Mstaafu, Muhuga.
Alisema Serikali inatambua mchango wa Sekta ya Madini
na kwamba mikakati ya makusudi inaendelea kufanyika ya
kuhakikisha sekta husika inaleta matunda yaliyokusudiwa.
Aliongeza kuwa, juhudi za Serikali kuunga mkono
shughuli za uchimbaji zinaonekana wazi na kuzitaja baadhi
kuwa ni pamoja na uanzishwaji wa vituo vya mfano
vitakavyotoa mafunzo ya teknolojia mbadala wa matumizi
ya zebaki kwa wachimbaji wadogo wa madini na kuboresha
na kurahisisha utoaji wa leseni ndogo za madini ambapo hivi
sasa zinatolewa mikoani badala ya Dar es salaam pekee.
Mbali na hilo, aliwataka wachimbaji kufuata taratibu za
hifadhi ya mazingira na kuwataka wale wanaochoma misitu
na kuharibu vyanzo vya maji kwa kisingizio cha kutafuta
madini kuacha tabia hizo mara moja.
Vilevile, katika mafunzo hayo, wachimbaji madini kote
nchini wametakiwa kufanya shughuli zao kwa kufuata
sheria, taratibu na kanuni za uchimbaji na kuweka takwimu
katika shughuli zao ili kuzifanya kuwa rasmi na serikali iweze
kuwatambua.
Ni matumaini yetu kwamba mafunzo yaliyotolewa na
wataalamu wa madini pamoja na rai iliyotolewa na Mkuu
huyo wa Mkoa na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya madini,
Profesa James Mdoe kwa wachimbaji madini kote nchini
imeeleweka.
Kufuatia mafunzo hayo, hatutarajii kuona wachimbaji
madini wakifanya shughuli zao kiholela badala yake
matarajio yetu ni kuona mabadiliko chanya kwenye shughuli
za uchimbaji madini kote nchini kama ilivyoelekezwa kwenye
mafunzo hayo.
Tunaendelea kuwaasa wachimbaji wa madini kote nchini,
hususan wachimbaji wadogo kuzingatia matakwa ya sheria
na kuepuka uchimbaji holela bila utaratibu ambao si tu
husababisha uharibifu wa mazingira lakini pia hupunguza
mapato yao.
ananchi wa wilaya
ya Ukerewe
wameipongeza serikali
kwa kasi ya miradi ya
umeme katika wilaya
hiyo, na kuongeza kuwa kukamilika
kwa miradi hiyo kutachochea ukuaji wa
shughuli za kiuchumi hususan za uvuvi.
Waliyasema hayo katika nyakati
tofauti hivi karibuni katika ziara ya
Kamishna Msaidizi- Nishati Jadidifu
kutoka Wizara ya Nishati na Madini,
Mhandisi Styden Rwebangila pamoja
na wataalam kutoka Idara ya Nishati,
Wizara ya Nishati na Madini yenye
lengo la kujionea hatua iliyofikiwa ya
maendeleo ya miradi hiyo inayotekelezwa
na kampuni ya Rex Energy
Akizungumza kwa niaba ya wenzake
Katibu wa Kitongoji cha Ghana/Siza
wilayani Ukerewe, Frank Matondane
alisema kuwa kitongoji hicho hakikuwa
na ndoto ya kupata umeme tangu
kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika
lakini matumaini yamepatikana baada
ya kuanza kwa utekelezaji wa miradi
ya umeme katika kitongoji hicho kupitia
TEL-2110490
FAX-2110389
MOB-0732999263
Bodi ya uhariri
Msanifu: Lucas Gordon
Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James ,
Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya
Five
Pillars of
Reforms
increase efficiency
Quality delivery
of goods/service
satisfAction of
the client
satisfaction of
business partners
satisfAction of
shareholders
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
Mgodi wa Buzwagi mbioni kufungwa
http://www.mem.go.tz
amati ya Kudumu
ya Bunge ya Nishati
na Madini imeutaka
Uongozi wa Mgodi wa
Buzwagi kuwashirikisha
wananchi pamoja na Wafanyakazi
wa Mgodi huo kuhusu Mpango wa
kuufunga Mgodi huo (Mining Closure
plan) unaotarajia kufunga shughuli
zake za uzalishaji wa Dhahabu ifikapo
Desemba 2017, huku shughuli za
uchenjuaji zikiendelea kwa kipindi cha
miaka miwili.
Hayo yameagizwa na Mwenyekiti
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
ilaya za Mkuranga,
Rufiji pamoja
na Kibiti
mkoani Pwani
zitaunganishwa
katika Gridi ya Taifa wakati wa
kuanza kwa Awamu ya Tatu ya
utekelezaji wa Mradi Umeme Vijijini
unaotekelezwa na Wakala wa Nishati
Vijijini (REA) kwa kushirikiana
na Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO).
Hayo yalisema na Naibu Waziri
wa Nishati na Madini, Dkt.t. Medard
Kalemani wakati wa ziara yake ya
siku moja ya kukagua maendeleo ya
utekelezaji wa Mradi wa Umeme
Vijijini (REA II) katika Wilaya hizo
pamoja na kuzungumza na wananchi.
Dkt.t. Kalemani alisema kuwa
Wilaya hizo zikaungwanishwa katika
Gridi ya Taifa ili waweze kupata
umeme mwingi, wa kutosha na wa
uhakika ili kuongeza kasi na ufanisi
katika shughuli za maendeleo kwa
wananchi.
Alisema kuwa wakati wa
kutekeleza Awamu ya Tatu ya Mradi
(REA III), TANESCO itajenga kituo
kikubwa cha kupokea na kupooza
umeme katika Wilaya ya Mkuranga
ili kusambaza umeme kwenye wilaya
hizo.
Umeme unaopatikana hapa
Mkuranga, Kibiti na Rufiji kwa sasa
hautoshelezi mahitaji ya watumiaji,
ni mdogo sana na unakatika mara
kwa mara, kwa kuwa shughuli za
kiuchumi zimeongezeka, sasa suluhu
ya tatizo hili ni kuunganisha Wilaya
hizi katika Gridi ya Taifa mara baada
ya mradi wa REA Awamu ya Tatu
kuanza, alisema Dkt.t. Kalemani.
Aidha aliwaeleza wananchi
kuwa huduma ya umeme kwa sasa
ni ya lazima kwa kila mwananchi
ili kuharakisha maendeleo, na
aliongeza kuwa ni vyema kila
mmoja ajiunganishe na huduma
hiyo kupitia Mradi wa REA ambao
hupatikana kwa bei nafuu na Serikali
imeugharamia kwa asilimia mia moja
kwa ajili wananchi wa vijijini.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
amati ya Kudumu
ya Bunge ya Hesabu
za Serikali (PAC)
imeridhishwa na
utekelezaji wa Miradi
ya Umeme Vijijini, inayotekelezwa
na Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
katika Awamu ya kwanza na ya Pili.
Mwenyekiti wa PAC, Livingstone
Lusinde alisema hayo mkoani
Iringa wakati wa ziara ya kukagua
utekelezaji wa mradi wa REA,
katika vijiji na Taasisi mbalimbali
zilizopitiwa na Miradi hiyo ili kuona
thamani halisi ya matumizi ya fedha
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
Wachimbaji Madini Wadogo watakiwa
kuifanya sekta hiyo kuwa ya Heshima
http://www.mem.go.tz
Asteria Muhozya na
Teresia Mhagama, Mpanda
achimbaji Madini
Wadogo nchini,
wametakiwa
kuendelea kuifanya
Sekta hiyo ya
Uchimbaji madini kuwa ya heshima
zaidi tofauti na miaka ya nyuma
ambapo ilionekana kuwa ni sehemu ya
watu waliokata tamaa.
Hayo yamesemwa mjini Mpanda
na Mkuu wa Mkoa wa Katavi,
Meja Jenerali Mstaafu Rafael
Muhuga wakati wa ufunguzi wa
Mafunzo kwa Wachimbaji Madini
Wadogo watakaonufaika na ambao
hawatanufaika na Ruzuku ya Awamu
ya Tatu, ikiwa ni maandalizi ya
kuwajengea uwezo ili ruzuku hizo
ziweze kutumika kama ilivyokusudiwa
kabla ya kukabidhiwa rasmi.
Hivi sasa kupitia sekta hii
mafanikio yameanza kuonekana,
kwani baadhi ya wachimbaji
wamewekeza kwenye miradi mingine
isiyohamishika. Nawapongeza sana
wale wote walioonyesha juhudi
hizo, alisema Meja Jenerali Mstaafu,
Muhuga.
Meja Jenerali Mstaafu, Muhuga
aliongeza kuwa, Serikali itaendelea
kutenga kiasi cha fedha kwa ajili ya
ruzuku itakayowawezesha wachimbaji
hao kununua vifaa vitakavyosaidia
kwenye shughuli za uchimbaji na
kueleza kuwa, imedhamiria kuendelea
kufanyia kazi changamoto mbalimbali
zinazoikabili sekta ndogo ya madini
nchini.
Alisema kuwa, juhudi za Serikali
kuunga mkono shughuli za uchimbaji
zinaonekana wazi na kuzitaja baadhi
kuwa ni pamoja na kutoa ruzuku
inayowezesha kupatikana kwa vifaa
vya kisasa vya uchimbaji na uchenjuaji
madini, uanzishwaji wa vituo vya
mfano vitakavyotoa mafunzo ya
teknlojia mbadala wa matumizi ya
zebaki kwa wachimbaji wadogo wa
madini na kuboresha na kurahisisha
utoaji wa leseni ndogo za madini
ambapo hivi sasa zinatolewa mikoani
badala ya Dar es salaam pekee.
Pia, aliwataka wachimbaji kufuata
taratibu za hifadhi ya mazingira na
kuwataka wale wanaochoma misitu
na kuharibu vyanzo vya maji kwa
kisingizio cha kutafuta madini kuacha
tabia hizo mara moja.
Awali, akizungumzia Ruzuku
ya Awamu ya Tatu, Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini anayeshughulikia Madini,
Profesa James Mdoe alisema kuwa,
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Madini Profesa James Mdoe
akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya wanufaika wa Ruzuku Awamu ya Tatu.
10
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
01
04
05
02
PICHA 1:
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Madini Mbeya na Ofisi ya Afisa
Mfawidhi wa TMAA, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Nishati
na Madini anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe. Hayupo
pichani.
PICHA 2:
Afisa Mfawidhi wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania
(TMAA), Mhandisi Said Mkwawa (kushoto) akimweleza Naibu
Katibu Mkuu wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini,
Profesa James Mdoe (wa pili kushoto), shughuli za Wakala huo
mkoani Mbeya. Wengine ni Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya
Kusini Magharibi, John Nayopa na Kamishna Msaidizi wa Madini
anayeshughulikia Wachimbaji Wadogo, Julius Sarota.
03
PICHA 3:
Meneja Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini
(SMMRP), Mhandisi Sabai Nyansiri (wa pili kulia). Akiangalia
mtambo unaotumika kuangalia ubora wa dhahabu katika Ofisi ya
Afisa Mfawidhi wa TMAA. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mfawidhi
wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA), Mhandisi Said Mkwawa.
Wengine ni Maafisa kutoka Ofisi ya TMAA Mbeya na Wizara ya
Nishati na Madini.
PICHA 4:
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe (katikati), akiwa
katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Madini Mbeya
na Ofisi ya Afisa Mfawidhi wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini
Tanzania (TMAA), Wengine ni watumishi kutoka Wizara ya Nishati
na Madini, Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),na Ofisi ya Madini
Kanda ya Kusini.
PICHA 5:
Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kusini Magharibi, Mhandisi
John Nayopa akizungumza jambo wakati wa kikao cha Profesa
Mdoe (katikati) na Watumishi wa madini na TMAA. Kushoto
ni Afisa Mfawidhi wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA),
Mhandisi Said Mkwawa.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
11
Na Greyson Mwase,
Mwanza
adau mbalimbali
wa vifaa ya
umeme jua kutoka
katika mikoa ya
Mwanza na Kagera
wamepongeza Wizara ya Nishati na
Madini kwa kuanzisha mfumo mpya
wa uhifadhi data na utoaji taarifa
kwa ajili ya nishati jadidifu ujulikanao
kama Tanzania Renewable Energy
Management Information System
(TREMIS) wenye lengo la kutangaza
fursa za uwekezaji katika nishati
jadidifu nchini.
Mfumo wa TREMIS unaratibiwa
na Mradi wa Kuwajengea Uwezo
Wataalam wa Nishati na Tasnia
ya Uziduaji (CADESE) kwa
kushirikiana na Idara ya Nishati,
Wizara ya Nishati na Madini.
Wakitoa pongezi hizo katika
kikao cha maandalizi ya mfumo huo
kilichofanyika jijini Mwanza hivi
karibuni wamesema kuwa mfumo
huo utawezesha shughuli za kampuni
zao kufahamika ndani na nje ya nchi
na kupata wabia wa kushirikiana nao
katika bishara ya vifaa vya umeme
jua.
Akizungumza kwa niaba ya
wenzake, mmiliki wa kampuni ya
kusambaza vifaa vya umeme jua ya
Kaguta General Supplies yenye
makazi yake Bukoba mkoani Kagera,
Justin Kamlali amesema kuwa
mfumo wa TREMIS utawawezesha
kufahamika ndani na nje ya nchi.
Alisema kuwa biashara ya
vifaa vya umeme jua imekuwa na
changamoto nyingi ikiwa ni pamoja
na kutofahamika na kupelekea wateja
12
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
2.
3.
4.
5.
6.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
13
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Rafael Muhuga (wa tatu
kulia waliokaa), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Prof.
James Mdoe (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa
Taasisi mbalimbali na Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda mbalimbali
walioshiriki mafunzo ya Wachimbaji Madini Wadogo Watakaonufaika na ambao
hawatanufaika na Ruzuku ya Wachimbaji Madini Wadogo ya Awamu ya Tatu
yaliyofanyika mjini Mpanda mkoani Katavi. Wengine waliokaa mbele ni Kaimu
Kamishna wa Madini, Julius Sarota, (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Chama
cha Wachimbaji Madini Wanawake nchini (TAWOMA), Eunice Negele (wa pili
kulia) na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini
Wadogo Tanzania (FEMATA), Dkt.t. Omar Mzeru (wa kwanza kushoto).
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu Rafael Muhuga (wa tatu
kulia waliokaa), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Prof.
James Mdoe (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi
wa Wizara ya Nishati na Madini walioshiriki mafunzo ya Wachimbaji Madini
Wadogo Watakaonufaika na ambao hawatanufaika na Ruzuku ya Wachimbaji
Madini Wadogo ya Awamu ya Tatu yaliyofanyika mjini Mpanda mkoani Katavi.
Wengine waliokaa mbele ni Kaimu Kamishna wa Madini, Julius Sarota, (wa
kwanza kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake nchini
(TAWOMA), Eunice Negele (wa pili kulia) na Makamu wa Rais wa Shirikisho
la Vyama vya Wachimbaji Madini Wadogo Tanzania (FEMATA), Dkt.t. Omar
Mzeru (wa kwanza kushoto).
14
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
15
Baadhi ya Wajumbe
wa mkutano kutoka
Wizara ya Nishati
na Madini, Mamlaka
ya Udhibiti wa
Huduma za Nishati
na Maji (EWURA) na
Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO)
wakifuatilia
majadiliano. Wa
kwanza kushoto ni
Kaimu Kamishna
wa Nishati, Mhandisi
Innocent Luoga.
16
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
NewsBulletin
Habari za nishati/madini
http://www.mem.go.tz
2.
3.
2.
3.
4.
5.
6.
On behalf of the Tanzania EITI Committee, the Ministry of Energy and Minerals
seeks a competent and credible firm, free from conflict of interest to provide
the service of carrying out the scoping study. Tendering will be conducted
through the National Competitive Bidding Procedures specified in the Public
Procurement Act, 2011. Interested consulting firms must provide information
indicating that they are qualified to perform the services. In particular,
interested consulting firms must provide company profile, description
of similar assignments, experience in similar conditions, and availability
of appropriate skills among staff). Firms may associate to enhance their
qualifications.
4.
5.
6.
EoI should be submitted to the Secretary of Ministerial Tender Board, 6th Floor,
Wing B Room 10 C. Late or Electronic delivery of EoI will not be accepted for
evaluation irrespective of the circumstances.
17
18
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
19
20
Habari za nishati/madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz