Anda di halaman 1dari 14

HABARI

HabariZAza
NISHATI
nishati&MADINI
&madini

NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Toleo No.158
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi MEM
Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Februari 10 - 16, 2017

Wabunge
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2
UTEKELEZAJI WA MRADI KABAMBE WA
KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU
YA TATU (TURNKEY III) WAANZA
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2

UK >>5

UHAMASISHAJI WACHIMBAJI WADOGO


Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini, anayeshughulikia
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini anayeshughulikia
Mkurugenzi Mtend-
aji wa TANESCO,
Mhandisi Felchesmi
Mkurugenzi Mkuu wa
REA, Dk. Lutengano
Mwakahesya
KUCHENJUA DHAHABU BILA ZEBAKI WAANZA
Madini Stephen Masele Nishati, Charles Kitwanga Mramba UK
>>2
JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4
Ofisi ya M awasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
kwa ajili ya News Bullettin hii ya Wizar a ya Nishati na Madini
Ofisi ya Mawasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
kwa ajili ya News Bullettinau Fika hii
Ofisina Jarida laGhorofa
ya Mawasiliano Wizarya
a Tano
ya Nishati
(MEM) na Madini
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: badra77@yahoo.com
NewsBulletin
Habari za nishati/madini

2
http://www.mem.go.tz

Februari 10 - 16, 2017

UHAMASISHAJI WACHIMBAJI WADOGO


KUCHENJUA DHAHABU BILA ZEBAKI WAANZA
Na Veronica Simba dhahabu na kuwahamasisha

W
kuachana na matumizi ya
izara ya Zebaki.
Nishati na Akizungumzia zoezi
Madini husika, Kamishna Msaidizi
imeanza wa Madini, Sehemu ya
zoezi la Uendelezaji, Uchimbaji Mdogo
kuhamasisha wachimbaji wa Madini, Mhandisi Benjamin
wadogo wadogo wa madini Mchwampaka alieleza kuwa,
nchini, kuachana na matumizi zoezi la uhamasishaji ambalo
ya Zebaki katika kuchenjua limeanzia Kanda ya Kati
madini, badala yake watumie mapema Wiki hii, litafanyika
njia nyingine mbadala zilizo katika Kanda Tano za
salama. Madini ambazo ndizo zenye
Zoezi hilo la uhamasishaji wachimbaji wadogo wadogo
linalosimamiwa na Idara ya wengi zaidi wanaotumia
Zebaki.
Madini, Sehemu ya Uendelezaji Amezitaja Kanda nyingine
Uchimbaji Mdogo wa Madini, Kamishna Msaidizi wa Madini wa Kanda ya Kati, Sosthenes Massola (kushoto),
zitakazohusika kuwa ni Kanda akimsikiliza Mtaalam wa Madini kutoka wizarani, Mhandisi Fadhili Kitivai,
ni sehemu ya utekelezaji wa ya Kusini Magharibi (Mikoa
Mkakati wa muda mrefu walipokuwa wakijadiliana kuhusu Mkakati wa Serikali wa kuhamasisha
ya Mbeya na Iringa hususan uchenjuaji wa dhahabu bila Zebaki. Mhandisi Kitivai na wataalam wengine
wa Serikali katika kuondoa Chunya), Kanda ya Ziwa
matumizi ya Zebaki, inayotajwa kutoka Ofisi ya Madini, Kanda ya Kati hivi karibuni waliendesha zoezi la
Viktoria Magharibi (Hususan uhamasishaji wa kuachana na matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo
kuwa na madhara mbalimbali. Mkoa wa Geita), Kanda ya
Mhandisi Migodi, Fadhili katika Mikoa ya Singida na Dodoma.
Kati Magharibi (Hususan
Kitivai akishirikiana na Mkoa wa Shinyanga) na Kanda
Wataalm wengine kutoka ya Ziwa Viktoria Mashariki
Ofisi ya Madini Kanda ya (Hususan Mkoa wa Mara.
Kati, waliendesha zoezi la Tafadhali usikose kusoma
uhamasishaji katika Mikoa ya Makala maalum kuhusu
Singida na Dodoma ambapo Mkakati wa Serikali katika
waliwatembelea wachimbaji kuondoa matumizi ya Zebaki
wadogo wadogo wa maeneo nchini katika Toleo lijalo la
husika ili kujionea shughuli Jarida la Wizara ya Nishati na
wanazofanya hususan njia Madini (MEM News Bulletin
wanazotumia kuchenjua Na. 159)

Viongozi wa Wachimbaji Madini wa Ushirika wa Sekenke One Mining


Cooperative Society katika Kijiji cha Nkonkilangi, Wilaya ya Iramba
mkoani Singida; wakimsikiliza kwa makini Mtaalam wa Madini kutoka
Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Fadhili Kitivai (wa tatu kutoka
kushoto), alipokuwa akiwahamisha kuachana na matumizi ya Zebaki
katika uchenjuaji dhahabu hivi karibuni, mgodini hapo.

Mtaalam wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi


Fadhili Kitivai (kushoto), akikagua Mtambo wa kuchenjua dhahabu
pasipo kutumia Zebaki. Mtambo huo unatumia kemikali ijulikanayo
kitaalam kama Gold Dressing Agent (GDA). Mtambo huo unamilikiwa
Mfanyakazi katika Mgodi wa Mchimbaji mdogo wa Madini uliopo na wajasiriamali ambao hujishughulisha na kuchenjua dhahabu kutoka
eneo la Mbuyuni wilayani Iramba, Mkoa wa Singida, Alex Odipo, katika marudio wanayonunua kutoka kwa wachimbaji wadogo wa
akichenjua dhahabu kwa kutumia Zebaki mgodini hapo hivi karibuni. dhahabu mkoani Singida.
NewsBulletin 3
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 10 - 16, 2017

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA NISHATI NA MADINI

TAHARIRI
Hongera Rais Magufuli, Lungu
kwa Mradi Mpya wa Bomba la TAARIFA KWA UMMA
Kusafirisha Mafuta Safi
Hivi karibuni tulishuhudia Wizara ya Nishati na Madini MNADA WA PILI WA KIMATAIFA KWA MADINI
ya Tanzania na Wizara ya Nishati ya Zambia kupitia YA TANZANITE KUFANYIKA JIJINI ARUSHA,
Viongozi Wakuu wa Taasisi hizo wakitembelea njia nzima
ya Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la kampuni ya TAREHE 9-12, FEBRUARI 2017.
TAZAMA lenye urefu wa kilomita 1,710 na kipenyo cha
inchi 8 hadi 12. Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, inatoa Taarifa
Ziara hiyo ilianzia Ndola nchini Zambia hadi Dar es
Salaam Tanzania, ikihusisha pia ukaguzi wa vituo vya
kwa Umma kuwa, itaendesha Mnada wa Pili wa Kimataifa kwa
Kusukuma mafuta hayo yaani Pumping Stations. Madini ya Tanzanite ghafi na yaliyokatwa kuanzia tarehe 9 hadi
Lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuona hali halisi ya 12, Februari 2017. Mnada huu utaendeshwa katika Kituo cha
Usafirishaji wa mafuta kupitia bomba hilo ikiwemo
kuangalia namna bora ya kufanya mabadiliko ya teknolojia Jimolojia Tanzania (TGC) kilichopo Jijini Arusha. Kampuni
na mitambo ya kusukuma mafuta hayo ambayo kwa sasa mbalimbali za ndani ya nchi zitaleta madini kwa ajili ya kuuzwa
linasafirisha mafuta chini ya ujazo. kwa wanunuzi kutoka mataifa mbalimbali Duniani.
Aidha, katika maelezo ya Waziri wa Nishati wa
Zambia Mulumba David wakati wa mazungumzo yake na Mnada huu ni muendelezo wa mnada wa kwanza wa madini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya Tanzanite uliofanyika mwezi Agosti, 2016 ambapo jumla
Samia Suluhu, alisema kuwa, mitambo hiyo ilifungwa ya gramu 318,033.17 na Karati 3,274.70 za Tanzanite ziliuzwa
mwaka 1968.
Ziara ya Viongozi hao, inafuatia makubaliano ya na jumla ya Kampuni 43 kutoka mataifa mbalimbali Duniani
Marais wa nchi hizo, Dkt. John Magufuli na Edgar Lungu zilihudhuria.
waliyofanya nchini Novemba, 2016. Katika mazungumzo
pamoja na mambo mengine, Marais hao walijadili kuhusu
Lengo la mnada huu ni kuboresha ukusanyaji wa mapato ya
kuboresha TAZAMA na mapendekezo ya ujenzi wa Serikali katika Sekta ya Madini kwa kuhakikisha soko la uhakika
Bomba jipya la kusafirisha Mafuta Safi lililotolewa na Rais kwa wauzaji wa madini hayo.
Lungu.
MEM Bulletin inatoa pongezi kwa Rais Dkt. John
Magufuli na Edgar Lungu kutokana na wazo la kuanzisha Imetolewa na:
Mradi mwingine wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha
Mafuta Safi kutoka Tanzania hadi nchini Zambia.
Ujenzi wa Bomba hilo ni maendeleo na fursa nyingine KATIBU MKUU
ya Kiuchumi kwa Tanzania ukiacha ujenzi wa Bomba la WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda
hadi Bandari ya Tanga, Tanzania.
7 FEBRUARI, 2017
Faida nyingine za mradi husika ni kukuza uchumi,
kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo na manufaa ya
kiuchumi maeneo litakapopita bomba hilo. KWA HABARI PIGA SIMU Five
Lakini hili pia, linadhihirisha wazi kazi nzuri kitengo cha mawasiliano Pillars of
inayofanywa na Serikali katika Sekta husika kupitia Wizara
Reforms
ya Nishati na Madini. Hakika viongozi na Watendaji wa
Wizara pia wanastahili pongezi. TEL-2110490
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini, Prof. Justin Ntalikwa, mchakato wa ujenzi FAX-2110389 increase efficiency

MOB-0732999263
Quality delivery
wa Bomba jipya la Mafuta Safi utaanza mara moja, na of goods/service
kikao cha kwanza kujadili ujenzi huu kinatarajiwa kuanza
na kikao cha Makatibu Wakuu wa Wizara husika hivi satisfAction of
karibuni. the client
Bodi ya uhariri
Kutokana na mradi huo, wananchi ambao bomba hilo satisfaction of
litapita na Watanzania kwa ujumla ni vema wakajiandaa Msanifu: Lucas Gordon business partners
kuupokea mradi husika ikiwemo kujiandaa kuchangamkia Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
fursa za kiuchumi zitakazo jitokeza wakati wa ujenzi wake.
Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of
Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders
Habari za nishati/madini

4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Februari 10 - 16, 2017

UPATIKANAJI NA MATUMIZI YA GESI ASILIA


Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekutana
na wakuu wa Mashirika na Wenyeviti wa bodi kujadili upatikanaji na
matumizi ya Gesi Asilia mjini Dodoma

Watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake


wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospter Muhongo
(hayupo pichani) wakati wa kikao kilichojadili kuhusu Upatikanaji na
Matumizi ya Gesi Asilia, mjini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu
wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa. Wengine
waliohudhuria katika kikao hicho ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Profesa Sufiani Bukurura
Maji (EWURA), Felix Mgamlagosi (aliyesimama) akichangia hoja katika na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),
kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mighanda Manyahi. Vilevile, kikao hicho kilihudhuriwa na Viongozi
mjini Dodoma. Waandamizi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, TANESCO, TPDC, EWURA
na Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA).

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) Mwenyekiti wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Profesa
akieleza jambo wakati wa kikao kilichojadili Upatikanaji na Matumizi ya Sufian Bukurura (aliyesimama) akizungumzia kuhusu Mkakati wa Matumizi
Gesi Asilia. Kikao hicho kilifanyika tarehe 8 Februari, 2017 katika ukumbi ya Gesi Asilia nchini. Wengine katika picha ni Viongozi Waandamizi kutoka
wa Mikutano wa Wizara, mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa Shirika Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake.
la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Profesa Sufian Bukurura. Kulia
ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mhandisi Kapuulya Musomba

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa


(wa kwanza kulia) pamoja na Kaimu Kamishna wa Nishati, Mhandisi
Innocent Luoga (wa pili) wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Wengine katika picha ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mhandisi Kapuulya Musomba
Viongozi Waandamizi kutoka katika Taasisi zilizo chini ya Wizara. (aliyesimama) akitoa mada kwa washiriki wa kikao hicho.
NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 10 - 16, 2017

WIZARA YA NISHATI NA MADINI


Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

UTEKELEZAJI WA MRADI KABAMBE WA KUSAMBAZA


UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU (TURNKEY III) WAANZA
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza vimefikiwa na umeme. Vijiji 4,334 vinavyosalia vitapelekewa
utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Awamu ya Tatu wa umeme kuanzia mwaka wa fedha 2018/19 hadi 2020/21
kusambaza nishati vijijini utakaojumuisha vijiji 7,873 katika kutegemeana na upatikanaji wa fedha.
wilaya na mikoa yote ya Tanzania Bara ambao utatekelezwa
kwa kipindi cha miaka mitano (5) kuanzia mwaka huu wa Kusambaza umeme kwenye vijiji 121 katika maeneo
fedha 2016/17 hadi 2020/21. Kati ya vijiji hivyo, vijiji 7,697 yanayopitiwa na umeme wa Msongo wa Kilovoti 400
vitapelekewa umeme wa gridi na vijiji 176 umeme wa nje ya gridi kutoka katika mikoa ya Iringa, Dodoma, Singida, Tabora
(off-grid). na Shinyanga kwa gharama ya dola za Marekani milioni 30
kwa ufadhili wa Serikali za Norway na Sweden. Taratibu
Utekelezaji wa Mradi huu unajumuisha vipengele-mradi (project za ununuzi wa wakandarasi zinakamilishwa na utekelezaji
components) vitatu:- utaanza mwezi Machi 2017.

a) Densification kuongeza wigo wa miundombinu ya Kipengele-Miradi cha Umeme wa Nje ya Gridi (Off-grid
usambazaji umeme (underline distribution trasformers) Renewable):
katika maeneo yenye miundombinu ili kufikisha umeme
kwenye vitongoji ambavyo havijafikiwa na umeme; Miradi hii inayotekelezwa na sekta binafsi inahusisha kuendeleza
b) Grid extension kinacholenga kufikisha umeme kwenye na kusambaza nishati jadidifu kwenye maeneo yaliyo mbali na
vijiji ambavyo havijafikiwa kabisa na miundombinu ya gridi pamoja na kwenye Visiwa vilivyopo kwenye maziwa na
umeme wa gridi; na katika Bahari ya Hindi. Jumla ya Dola za Marekani milioni
c) Uzalishaji na usambazaji wa nishati jadidifu kwenye maeneo 84 zimetengwa kwa ajili ya mradi huu ; kati ya hizo Dola za
yaliyo mbali na miundombinu ya umeme wa gridi (off-grid) Marekani milioni 42 ni kutoka Serikali ya Uingereza na Dola za
na kwenye visiwa. Marekani milioni 42 kutoka Benki ya Dunia. Wakala ulitangaza
awamu ya kwanza ya mradi huu tarehe 23 Septemba, 2016 (1st
Utekelezaji wa vipengele-mradi katika Mradi huu umeanza na Call for Proposals) kwa ajili ya kushindanisha waendelezaji
upo katika hatua mbalimbali kama ilivyoainishwa hapa chini: binafsi na wajasiriamali wa nishati jadidifu kwenye maeneo ya
nje ya gridi (off-grid mini grids). Awamu ya pili itatangazwa
Kipengele-mradi cha Densification: mwezi Aprili 2017, matangazo haya yatakuwa yanatolewa kwa
awamu kila baada miezi sita. Wajasiriamali wa nishati jadidifu
Utekelezaji wake tayari umeanza kufuatia Mikataba iliyosainiwa wanahamasishwa kushiriki katika utekelezaji wa mradi huu.
Mwezi Desemba 2016 katika mikoa sita ya Arusha, Iringa, Mara,
Mbeya, Pwani, na Tanga kwa gharama ya Dola za Marekani Hitimisho
Milioni 27 kutoka Serikali ya Tanzania na Norway, hivyo
kuwezesha vijiji 305 kusambaziwa umeme. Wakala unaishukuru Serikali kwa kuweka msisitizo kwenye
miradi ya usambazaji wa nishati bora vijijini pamoja na kuendelea
Kipengele-mradi cha Grid Extension kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo. Lengo la
Serikali ni kufikisha umeme kwenye vijiji vyote Tanzania Bara
Kusambaza umeme kwenye vijiji 3,559 katika mikoa 25 ya ifikapo Mwaka 2021; na kuongeza idadi ya vijiji vilivyofikiwa na
Tanzania Bara unaokadiriwa kugharimu Shilingi bilioni huduma ya umeme hadi asilimia 85 mwaka 2025 na asilimia 100
733.98 kutoka Serikali ya Tanzania, Norway, Sweden Mwaka 2030.
na Benki ya Dunia. Mradi utatekelezwa kwa kipindi cha
miezi 24 kuanzia mwaka wa fedha 2016/17 hadi 2017/18. Imetolewa na:
Taratibu za ununuzi zinaendelea na wakandarasi wataanza Mkurugenzi Mkuu
kazi mwezi Machi 2017. Hadi sasa jumla ya vijiji 4,395 kati Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
ya vijiji 12,268 ambayo ni sawa asilimia 36 vimeunganishwa S. L. P 7990 Dar es Salaam.
na huduma ya umeme. Baada ya kukamilika kwa mradi Simu +255 22 2412001/2/3
huu, jumla ya vijiji 7,934 sawa na asilimia 65 vitakuwa Barua pepe: info@rea.go.tz
Habari za nishati/madini

6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Februari 10 - 16, 2017

MATUKIO WIKI HII

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi


Juliana Pallangyo (mbele) wakati wa mkutano na Ujumbe wa Umoja wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana
Ulaya kwa Tanzania (kushoto). Mkutano huo ulijadili masuala mbalimbali Pallangyo (kushoto) akizungumza. Kulia ni watendaji na wataalamu
yanayohusu Sekta ya Nishati hususan suala la uboreshaji wa sekta hiyo. kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana


Pallangyo (kulia) akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Umoja
wa Ulaya kwa Tanzania uliomtembelea kujadili kuhusu uboreshaji wa Ujumbe wa Umoja wa Ulaya kwa Tanzania, kutoka kulia ni Mkuu wa
Sekta ya Nishati nchini. Kushoto ni kiongozi wa Ujumbe huo ambaye pia Kitengo cha Kilimo, Nishati na Mazingira cha Umoja wa Ulaya kwa
ni Mkuu wa Kitengo cha Kilimo, Nishati na Mazingira cha Umoja wa Ulaya Tanzania, Jenny Nunes, Meneja Mradi wa Ushirikiano wa Nishati, Mikael
kwa Tanzania, Jenny Nunes. Melin, Francis Songela na Myra Bernardi.

Watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini; kutoka kushoto ni Kaimu


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Kamishna Msaidizi- Maendeleo ya Nishati, Mhandisi Juma Mkobya, Kaimu
Pallangyo (kushoto) akifuatilia majadiliano. Kulia ni Kaimu Kamishna Kamishna Msaidizi- Nishati Jadidifu, Mhandisi Styden Rwebangira, Mhandisi
Msaidizi- Maendeleo ya Nishati, Mhandisi Juma Mkobya. wa Nishati, Edison Ngabo na Mhandisi wa Nishati, Nyaso Makwaya.
NewsBulletin 7
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 10 - 16, 2017

EWURA inaongoza bara la Afrika katika Udhibiti


Na Titus Kaguo kwa kusimamia jumla ya mamlaka 130, wa taarifa, rufaa, uwazi na ushiriki Bloomberg ilionesha kwamba mwaka

M
ikiwa ni idadi ya juu kabisa ikifuatiwa na ambao EWURA imekua ikitekeleza. 2015, EWURA iliongoza katika
amlaka ya Udhibiti wa Kenya 103, Zambia (18), Msumbiji (15) ESAWAS ilianzishwa mwaka 2007 kutengeneza mazingira mazuri ya
Huduma za Nishati na Rwanda, Burundi na Lesotho ina katika mkutano usio rasmi uliofanyika kuvutia uwekezaji katika sekta ya nishati
na Maji (EWURA) moja kwa kila mmoja. kati ya wadhibiti wa huduma za majisafi kati ya nchi zilizo kusini mwa Jangwa la
imekuwa mamlaka Kwa mujibu wa ripoti hiyo EWURA na usafi wa mazingira kutoka nchi Sahara.
bora ya udhibiti wa imekua mdhibiti bora kwa kutimiza tano za Africa Mashariki na Kusini Wakati huohuo, Baraza la Ushindani
huduma za maji na usafi wa mazingira wajibu wake wa kiudhibiti kwa walipokutana kwaajili ya kubadilishana wa Haki (FCC) limeipongeza EWURA
katika nchi za Mashariki na Kusini kuzingatia utawala bora, hii inatokana uzoefu na maarifa mbalimbali katika kwa kuibuka na ushindi kutoka katika
mwa Afrika kwa kuzingatia mipango ya na sheria kuweka wazi, kanuni, wajibu masuala yanayohusiana na maji na usafi kundi kubwa la wadhibiti wa huduma
utawala bora katika udhibiti. na majukumu ya EWURA katika wa mazingira. za maji Mashariki, Kati na Kusini mwa
EWURA imekuwa na mipango kuhakikisha inaimarisha misingi ya Pamoja na mambo mengine, kazi ya Afrika kwa misingi ya uwazi na utawala
thabiti katika kutimiza majukumu yake kudumu na kiini cha mfumo mzima wa umoja huo ni kuimarisha udhibiti kwa bora katika udhibiti.
mbalimbali ya udhibiti kwa kuzingatia udhibiti. wanachama, ili watoe huduma bora Hebu na mimi, kwa niaba
utawala bora hivyo inafaa kuwa kiongozi Pamoja na mambo mengine ripoti yenye ufanisi ili kufikia malengo ya sera ya Makamishina, Menejimenti na
barani, inasema ripoti ya Majisafi na inasisitiza kuwa sheria inapaswa kuweka ya umma kwa njia ya ushirikiano. kwa niaba yangu mwenyewe niletee
Usafi wa Mazingira kwa nchi za Afrika wazi na kumpa mdhibiti mamlaka ya Mwaka 2009, EWURA iliibuka EWURA pongozi kwa kuibuka
Mashariki na Kusini (ESAWAS). kukokotoa bei, kufuatilia mwenendo wa mdhibiti bora wa umeme, baada ya mdhibiti bora Mashariki na Kusini mwa
Matokeo hayo ya ripoti sekta zinazodhibitiwa na kuweka kanuni uchambuzi uliofanywa na Chuo Kikuu Afrika kulikofanywa na wachambuzi
yaliwasilishwa jijini Dar es Salaam na sera katika sekta hizo. cha Cape Town, uliohusisha wadhibiti wa ESAWAS alisema, Mkurugenzi
wakati wa kuhitimisha mkutano mkuu Kwa mujibu wa ripoti hiyo wengine kutoka nchi za Uganda, Kenya, Mkuu wa FCC, Dr. Frederick Ringo.
wa mwaka uliofanyika mwezi Novemba ya ESAWAS, sheria inapaswa Zambia, Namibia na Ghana. Katika pongezi hizo zilizotumwa
2016, katika mkutano wa siku tatu wa kumuwezesha mdhibiti kutekeleza Pia mwaka 2011, utafiti uliofanywa kwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA,
ESAWAS. maamuzi yake, kuweka viwango vya na Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), Bw. Felix Ngamlagosi, Dr. Ringo
ESAWAS kwa sasa inajumuisha na ubora, kanuni na sera husika kwa ulionesha kwamba, EWURA ni aliongeza: Uwazi, na mpango wa
wanachama saba ambao ni mamlaka maslahi ya umma. Pia kuweka viwango mdhibiti bora katika nyanja ya utawala mfumo wa udhibiti na uwazi wa kazi na
za udhibiti wa huduma za maji na usafi katika maeneo sahihi yakiwemo ya bora, uwazi na uhuru. majukumu na kwa msaada wa Serikali
wa mazingira kutoka nchi za Kenya, kiufundi pamoja na huduma bora za Mwaka 2015, EWURA ilishinda vifanya kazi kubwa kuhakikisha kuna
Rwanda, Msumbiji, Zambia, Lesotho, kiuchumi. tuzo na kuchukua kombe kama mdhibiti kuwa na haki na utulivu kwa watumiaji.
Burundi na Tanzania. Ripoti hiyo pia imepitia kwa umakini bora wa nishati Afrika kwa mwaka huo, Tunapongeza kwa uwezo, weledi
Pamoja na hayo, EWURA ni pamoja na mambo mengine juu ya katika tukio lililofanyika Dubai katika na kazi kubwa ambayo imechangia
mamlaka ya udhibiti inayosimamia utawala wa mdhibiti kwa kuangalia kongamano la mwaka la wadhibiti wa mafanikio haya. Tafadhali fikisha salamu
mamlaka nyingi za huduma za maji uimara wa sera na sheria, uhuru wa nishati. hizi kwa Bodi ya Wakurugenzi na
kifedha na kiutawala, uwajibikaji, utoaji Pia ripoti yiliyotolewa na jarida Wafanyakazi.

EWURA scoops the highest rank in


Africas regulatory dispensation
FCC gives hearty
By Titus Kaguo arrangement due to the fact that on matters related to water and
congratulations

T
the law gives clarity to the roles and sanitation.
he Energy and Water Utilities responsibilities of the regulator and foster Among other objectives of the Commission (FCC) has given hearty
Regulatory Authority a degree of stability and permanence Association is to enhance regulatory congratulations to the Energy and
(EWURA) has been rated in the governance and substance of the capacity of members to deliver quality Water Utilities Regulatory Authority
the best among various water regulatory system. and effective regulation to achieve public (EWURA) for being an overall winner
regulators from Eastern The Peer Review further emphasised policy objectives through cooperation among various water regulators
and Southern Africa in terms of good that among other things, the laws must and mutual assistance. from Eastern and Southern Africa in
regulatory governance arrangement. Clearly empower the regulator to In 2009, EWURA emerged the terms of good regulatory governance
EWURA has excellent regulatory establish tariffs, monitor the performance best regulator in Electricity, after a Peer arrangement.
governance arrangements and in many of regulated entities, make rules and Review conducted by the University of Let me, on behalf of
respects could be a continental leader, subsidiary policy for the sector. Cape Town involving others regulators Commissioners, Management and on
says the report by the Eastern and The law, according to ESAWAS peer from Uganda, Kenya, Zambia, Namibia my own behalf send EWURA hearty
Southern Africa Water and Sanitation review, must empower the regulator to and Ghana. congratulations for being rated as the
(ESAWAS) Regulators Association Peer Fully enforce its decisions, standards, Also in year 2011, a research best regulator in Southern Africa by
Review. and rules, as well as relevant public conducted by the European Union ESAWAS Regulators Association Peer
The Report findings were presented policy, and. indicated that EWURA was the Review, says FCCs Director General,
in Dar es Salaam at the end of three set binding standards in such best regulator in Africa in terms Dr. Frederick Ringo.
days ESAWAS Annual Conference appropriate areas as technical and of governance, transparency and In a congratulatory note to
held in November. ESAWAS is currently economic services quality. independence. EWURAs Director General, Mr. Felix
composed of seven members which are The peer review focused among In June 2015, EWURA won an Ngamlagosi, Dr. Ringo added: Clearly,
Water and Sanitations Regulators from other things on regulatory governance award and trophy as Energy Regulator your excellent regulatory structure of the
Kenya, Rwanda, Mozambique, Zambia, looking at stability of policies and of the Year Award for Excellence 2015. governance arrangement and the clarity
Lesotho, Burundi and Tanzania. legislation, financial and administrative The event took place in Dubai at the of your roles and responsibilities and
Of all, EWURA is the regulatory independence, accountability, reporting, Annual Africa Energy Forum. the support from the Government have
authority that oversee 130 utilities, appeals, transparency and participation Also a report by the Bloomberg played a good part in fostering fairness,
the highest number among the block, that witnessed EWURA complying to. News indicated that in 2015 EWURA stability and substance to consumers. We
followed by Kenya 103, Zambia (18), ESAWAS began in 2007 as an was leading in Africa for creating underline that the capacity, capabilities,
Mozambique (15) and Rwanda, informal meeting held among five Water conducive environment for investment professionalism and hard work played
Burundi and Lesotho has one-each. and Sanitation regulators from countries attraction in the energy sector in Sub- a critical part also. Kindly convey these
EWURA, according to peer review in Eastern and Southern African region Saharan Africa. congratulations to your board and
has an excellent regulatory governance to exchange experiences and knowledge Meanwhile, the Fair Competition employees.
Habari za nishati/madini

8 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Februari 10 - 16, 2017

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA


MINISTRY OF ENERGY AND MINERALS

CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 2017/2018


1. INTRODUCTION
3.5 All the above mentioned full package of application
Applications are invited from committed, motivated and qualified documents should be arranged in two complete sets and use paper DIN
Tanzanians to apply for postgraduate studies in the one of A4.
Chinas best Oil and Gas Universities - the China University of 3.6 Testimonials/ provisional results/ statements of results will not be
Geosciences (Wuhan). accepted.
3.7 Applicants who are employed in the Public Service should route
Sponsorship will be in the fields of oil and gas. The scholarships their applications through their respective employers; and
will be processed in collaboration with the Embassy of China 3.8 Any application without relevant documents shall not be
in Tanzania and will be awarded to the best twenty two (22) considered.
candidates. 3.9 Applicants who were awarded China Scholarship in 2016 and
declined the opportunity should not apply these scholarships
2. ELIGIBILITY because they will not be considered.
3.9. Closing Date: 17th March, 2017.
a) Applicants must be holders of Bachelors degree in Earth Sciences 3.10. Notification: Shortlisted applicants will be notified by 10th April,
or Engineering from recognized universities; 2017.
b) Masters Degree and Ph.D. applicants should not be older than 35
and 40 years respectively; Permanent Secretary
c) Applicants will be required to pay for a ticket to China; other costs Ministry of Energy and Minerals
will be paid by the Government of China including return ticket; 5 Samora Machel Avenuee
and P. O. Box 2000,
d) Applicant once awarded scholarship, will not be allowed to decline 11474 Dar es Salaam
for any reasons. E-Mail: info@mem.go.tz
Website: www.mem.go.tz
3. MODE OF APPLICATION

3.1 Interested applicants should write a letter of application to The JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Permanent Secretary of the Ministry of Energy and Minerals in
which they should state their academic and practical background WIZARA YA NISHATI NA MADINI
in the fields of gas and oil; level of studies they wish to pursue
(Masters or Ph.D.); why they should be offered the scholarship;
and how they will use their knowledge for the benefit of the
nation.
3.2 Applicants are required personally to conduct online application
for the scholarship through http://www.csc.edu.cn/laihua or
http://www.campuschina.org . The Agency Number for Online
application is 8341. TAARIFA KWA UMMA
3.3 All applications should be addressed to: AWAMU YA KWANZA YA WATUMISHI KUHAMIA
MAKAO MAKUU YA NCHI - DODOMA TAREHE 10
Permanent Secretary, FEBRUARI, 2017
Ministry of Energy and Minerals,
P.O. Box 2000,
Dar es Salaam. Wizara ya Nishati na Madini Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala
inapenda kuufahamisha umma na Maafisa. Jumla ya Watumishi
3.4 Applications must be attached with: kuwa, Awamu ya Kwanza ya wanaohamia Dodoma Awamu ya
Watumishi wa Wizara kuhamia Kwanza ni 47.
a) Two copies of application forms printed from online applications; Makao- Makuu ya Nchi, Dodoma
b) Two original sets of Letter of Recommendation; inaanza tarehe 10 Februari, 2017. Aidha, kutokana na uhamisho
c) Two photocopies of academic transcripts of the most advanced huo, anuani ya Wizara Dodoma
studies (notarized photocopy); Miongoni mwa watakao hamia ni;
d) Two photocopies of Diploma of the Most Advanced Studies katika awamu hiyo ni pamoja na Katibu Mkuu,
(notarized photocopy); Viongozi na Watendaji Wakuu Wizara ya Nishati na Madini,
e) Two photocopies of Foreigner Physical Examination Form; wa Wizara ambao ni Waziri wa
Nishati na Madini, Naibu Waziri Barabara ya Kikuyu,
f) Two photocopies of Blood Test Report; S.L.P 422,
g) Two copies of Study Plan (800 words) in China; wa Nishati na Madini, Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati DODOMA
h) Two copies of Birth Certificate;
i) Reliable contacts: postal address and telephone numbers; na Madini na Naibu Makatibu
j) A detailed Curriculum Vitae (CV); Wakuu wa Nishati na Madini. Imetolewa na;
k) Copies of Form IV and VI National Examination Certificates; and
l) One recent passport size photograph. Watumishi wengine ni KATIBU MKUU
pamoja na Kamishna wa WIZARA YA NISHATI NA
Note: Madini Tanzania, Kamishna wa MADINI
Nishati na Masuala ya Petroli, 9/2/2017
NewsBulletin 9
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 10 - 16, 2017

Mkakati Kuboresha Matumizi ya Nishati


kwenye majengo makubwa mbioni

M
pango Mkakati inatakiwa kuwekwa tangu mwanzo
wa Kuboresha wa ujenzi.
Matumizi ya Majengo mengine katika nchi
Nishati ya umeme zilizopo kusini mwa Jangwa la
katika majengo Sahara ni yale yaliyobuniwa kwa ajili
makubwa nchini umeanza kwa kasi. ya nchi za ulaya zenye mazingira
Warsha ya kwanza ya wadau ya baridi kwa kiasi kikubwa hivyo
hao iliyolenga katika kuweka hayaendani na hali halisi ya nchi
uelewa juu ya matumizi bora ya za Afrika matokeo yake nishati ya
nishati,Mipango miji na sababu umeme inahitajika zaidi kufanya
za kuingiza suala la matumizi mazingira rafiki kwa watumiaji wa
bora ya nishati katika sekta ya majengo husika alisisitiza.
ujenzi vimejadiliwa katika kikao Akizungumzia mahitaji ya nishati
kilichofanyika hivi karibuni katika katika Bara la Afrika Kiongozi wa Baadhi ya wadau waliohudhuria katika warsha ya wadau wa nishati
hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya ya kujadili mfumo wa udhibiti wa matumizi ya nishati ya umeme katika
Warsha hiyo iliyoandaliwa kwa Ashok John alisema, kiasi cha majengo.
ushirikiano baina ya Wizara ya asilimia 56 ya umeme unaozalishwa
Nishati na Madini na Umoja wa nchini unatumika katika majumba
Ulaya ilijadili masuala ya nishati na na kiasi cha asilimia 75 ya nishati
baadaye kuweka taratibu na njia za inayozalishwa inatumika katika miji
kupelekea matumizi bora ya nishati mikubwa.
yatakayokwenda sambamba na sekta Aidha, alibainisha kuwa
ya ujenzi nchini.
Akielezea dhana ya matumizi kutokana na kukua kwa miji
bora ya umeme, Kaimu Kamishna ongezeko la mahitaji ya umeme
Msaidizi wa Nishati upande wa ni asilimia 8 kila mwaka jambo
Nishati Jadidifu, Mhandisi Styden linalopelekea uhaba wa nishati hiyo
Rwebangila, alisema kuwa ni na kwamba jambo litakalosaidia
kupunguza kiasi cha umeme katika kutatua tatizo hili ni kuboresha
kinachotumika katika kazi yoyote. matumizi ya umeme na pia kutumia
Aidha, aliongeza kuwa, nishati mbadala katika kuondoa
matumizi bora ya umeme tatizo la uhaba wa nishati ya umeme.
ni kutumia kiasi cha umeme Alisema kutokana na hali halisi
kilichopatikana katika kukamilisha ya nishati, Wizara ya Nishati na
shughuli tofauti tofauti katika Madini ikishirikiana na Umoja
eneo husika itakayopelekea katika wa Ulaya na nchi zinazojihusisha
kupunguza gharama na kuhifadhi na masuala ya Umeme kwa Wote
mazingira. (SE4All) wameandaa Mkakati
Akizungumzia suala la ujenzi wa pamoja wa Matumizi bora ya
nchini, Mhandisi Rwebangila umeme pamoja na mwongozo wa
alisema majengo mengi mapya Cheti cha matumizi bora ya umeme
yanajengwa kuzingatia mbinu (Energy Perfomance Certification
zitakazotumika katika kupunguza Guidelines) utakaosaidia kupunguza
kiasi cha umeme kitakachokuwa Wadau wakifuatilia mada wakati Mtaalamu mwelekezi akitoa mada
kiasi cha umeme kitakachotumika
wakati wa warsha ya wadau wa nishati ya kujadili mfumo wa udhibiti
katika majengo hayo suala ambalo kikitumika katika majengo makubwa
wa matumizi bora ya nishati ya umeme katika majengo.
si sahihi kwa kuwa mipango yote nchini.

Kamishna Msaidizi wa
Nishati upande wa Nishati
Jadidifu Mhandisi Styden
Rwebangira akifungua
warsha ya wadau wa
nishati ya kujadili mfumo
wa udhibiti wa matumizi
ya bora ya nishati ya
umeme katika majengo.
Kilichofanyika leo katika
hoteli ya Serena Jijini Dar
es Salaam.
Wajumbe waliohudhuria warsha kujadili ufanisi katika matumizi ya
nishati ya Umeme katika majengo wakiwa katika picha ya pamoja
mara baada ya kukamilisha awamu ya kwanza ya zoezi. Wa tatu
kutoka kushoto (waliokaa) ni Kamishna Msaidizi wa Nishati upande wa
Nishati Jadidifu Injinia Styden Rwebangila akifuatiwa na Jenny Correia
Nunes Mkuu wa Kitengo cha Kilimo, Nishati na Mazingira kutoka
Umoja wa Ulaya.
Habari za nishati/madini

10 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Februari 10 - 16, 2017

DKT PALLANGYO AKUTANA NA


DK. PALLANGYO AKUTANA
WATENDAJI KUTOKA BENKI YA DUNIA NA UJUMBE KUTOKA BENKI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
YA MAENDELEO YA AFRIKA
Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo amekutana na watendaji kutoka
Benki ya Dunia (WB), Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Mhandisi Juliana
Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Lengo la kikao Pallangyo alikutana na ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
hicho lilikuwa ni kujadili hatua ya utekelezaji na changamoto ya miradi ya ambapo Benki hiyo imeonesha nia ya kufadhili miradi ya kuzalisha umeme.
nishati nchini inayofadhiliwa na Benki hiyo. Miradi hiyo ni pamoja na; Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu ya maji
wa Kakono (MW 87); Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu ya maji wa
Malagarasi (MW 44.8); Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha wenye msongo wa
kV 400 kutoka Mbeya Sumbawanga- Kigoma na Mradi wa kusambaza umeme
katika maeneo ambayo hayajafikiwa na umeme mijini (Urban Electrification)

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia


Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kushoto) akiongoza kikao Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Mhandisi Juliana
kilichoshirikisha watendaji kutoka Benki ya Dunia (WB), Wizara ya Pallangyo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha ujumbe kutoka Benki
Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na watendaji kutoka Wizara ya Nishati
wa Nishati Vijijini (REA) jijini Dar es Salaam. na Madini kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu
Mkuu wa
Wizara ya
Nishati na
Madini, Dk.
Mhandisi
Juliana
Pallangyo
akielezea
sekta ya
nishati
katika kikao
hicho
Sehemu ya watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt.
Mhandisi Juliana Pallangyo. (hayupo pichani)

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia


Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akimsikiliza Mtendaji Sehemu ya Watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakifuatilia
kutoka Benki ya Dunia (WB) anayeshughulikia masuala ya Nishati, maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nataliya Kulichenko (kushoto) katika kikao hicho. Nishati na Madini, Dk. Mhandisi Juliana Pallangyo (hayupo pichani)
NewsBulletin 11
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 10 - 16, 2017

DKT. PALLANGYO AKUTANA NA WASIMAMIZI WA MIRADI YA NISHATI


Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na
Madini anayeshughulikia
Nishati, Dkt. Mhandisi
Juliana Pallangyo
(kushoto) akiongoza
kikao kazi na wasimamizi
wa miradi ya nishati
kilichofanyika jijini Dar
es Salaam, lengo likiwa
ni kujadili maendeleo na
changamoto za miradi
hiyo.

Sehemu ya wasimamizi wa miradi na watendaji kutoka Wizara ya Nishati


na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo
ya Petroli Tanzania (TPDC), Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakifuatilia
maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo akisisitiza jambo katika kikao
Pallangyo (hayupo pichani) hicho.

Sehemu ya wasimamizi wa miradi na watendaji kutoka Wizara ya Nishati


na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo
ya Petroli Tanzania (TPDC), Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakifuatilia
maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kutoka kushoto, Milka Digha, Alika Ilomo na Costa Mosha kutoka
Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Nishati na Madini wakinukuu
(hayupo pichani) maelekezo mbalimbali yaliyokuwa yanatolewa katika kikao hicho.
Habari za nishati/madini

12 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Februari 10 - 16, 2017

WAJUMBE KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI,


MBUNGE WA SIMANJIRO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA WATEMBELEA
MNADA WA PILI WA KIMATAIFA WA MADINI YA TANZANITE

Teresia Mhagama na na wauzaji wa ndani ya nchi


Zuena Msuya, Arusha kwa kuangalia bei katika masoko
mengine nje ya nchi na kutoa

B
muongozo wa bei za madini husika
aadhi ya Wajumbe wa ambayo itamsaidia mchimbaji
Kamati ya Kudumu katika kufanya mauzo, alisema
ya Bunge ya Nishati na Kalugendo.
Madini, Mkuu wa Mkoa Kwa upande wake Mkuu wa
wa Arusha, Mrisho Mkoa wa Arusha, baada ya kukagua
Gambo na Mbunge wa Simanjiro, mnada huo, aliishukuru Wizara ya
James Millya wametembelea Kituo Nishati na Madini kwa kuendesha
cha Jimolojia Arusha, unapofanyika mnada husika jijini Arusha na
Mnada wa Pili wa Kimataifa kwa kusema kuwa hii itasaisaidia
madini ya Tanzanite ili kujionea jinsi kuitangazia dunia kuwa madini ya
mnada husika unavyoendeshwa. Tanzanite yanapatikana Tanzania
Mnada huo wa kimataifa pekee na Serikali itaongeza mapato
unaofanyika jijini Arusha kuanzia kupitia madini hayo.
tarehe 9 hadi 12, Februari, 2017 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na
Alitoa wito kwa Madini na Watumishi kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakiangalia
unahudhuriwa na wanunuzi wafanyabiasharawa madini ya
mbalimbali kutoka ndani na nje ya jinsi wanafunzi katika Kituo cha Jimolojia jijini Arusha wanavyojifunza
Tanzanite kuweza kupeleka madini namna ya kukata madini ya vito na kuyaweka katika maumbo ya kuvutia.
nchi na wauzaji kutoka ndani ya mengi zaidi katika mnada huo ili
nchi. Kituo hicho cha Jimolojia kipo chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
kuweza kuwa na wadau wengi zaidi
Akiotoa maelelezo kuhusu na madini hayo yatanunuliwa kwa
mnada huo Mkurugenzi wa Kitengo uwazi ambao utaleta faida kwa
cha Uthaminishaji Madini katika Serikali na wananchi kwa ujumla.
Wizara ya Nishati na Madini Wajumbe wa Kamati, Mkuu wa
(TANSORT), Archard Kalugendo, Mkoa na Mbunge wa Simanjiro pia
alisema kuwa lengo la mnada huo walipata fursa ya kuona shughuli
ni kuhakikisha kuwa madini ya mbalimbali zinazofanyika katika
Tanzanite yanapata soko rasmi na Kituo cha Jimolojia ikiwemo za
Serikali kupata mapato yake stahiki. kuchonga vinyago vinavyotokana
Alisema kuwa minada ya madini na miamba mbalimbali na kuweka
inayofanyika ndani ya nchi inasaidia katika maumbo mbalimbali na pia
pia kudhibiti utoroshaji wa madini kukata madini ya vito na kuyaweka
hayo nje ya nchi kwani wauzaji wa katika maumbo ya kuvutia.
madini hayo wanakuwa na uhakika Mnada wa kwanza wa madini
wa kupata wanunuzi wa Tanzanite ya Tanzanite ulifanyika mwezi
wanaohudhuria minada hiyo. Agosti mwaka 2016 ambapo jumla
Hapa tumekaribisha wanunuzi ya gramu 318,033.17 na karati
kutoka sehemu mbalimbali duniani 3,274.70 za Tanzanite ziliuzwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji Madini ya Almasi na Vito,
na sisi kama Serikali tunasaidia jumla ya kampuni 43 kutoka mataifa katika Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo,(wa
kutathmini madini yaliyoletwa mbalimbali duniani zilihudhuria. kwanza kushoto) akitoa maelezo kwa Baadhi ya Wajumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Watumishi kutoka Wizara
ya Nishati na Madini kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Kituo cha
Jimolojia jijini Arusha ambacho kipo chini ya Wizara ya Nishati na Madini.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji Madini ya Almasi na Vito,


katika Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo,(wa
pili kushoto) akiwa na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kushoto) akizungumza na
Bunge ya Nishati na Madini, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo mmoja wa wanunuzi wa madini ya Tanzanite katika Mnada wa Pili wa
(wa Tatu kushoto) na Mbunge wa Simanjiro, James Millya (wa kwanza Kimataifa wa Madini hayo unaofanyika jijini Arusha. Wa kwanza kushoto
kulia) mara walipotembelea Kituo cha Jimolojia Arusha unapofanyika ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji Madini ya Almasi na Vito,
Mnada wa Pili wa Kimataifa kwa madini ya Tanzanite ili kujionea jinsi katika Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo na
unavyoendeshwa.Wa kwanza kushoto ni mmoja wa wakurugenzi wa wa kwanza kulia ni mmoja wa wakurugenzi wa Mgodi wa Tanzanite One,
Mgodi wa Tanzanite One, Faisal Shahbhai. Faisal Shahbhai.
NewsBulletin 13
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 10 - 16, 2017
Habari za nishati/madini

14 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Februari 10 - 16, 2017

Anda mungkin juga menyukai