Anda di halaman 1dari 15

HABARI

HabariZAza
NISHATI
nishati&MADINI
&madini

NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Toleo No.164
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi MEM
Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Machi 24 - 30, 2017

Wabunge
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2
PROF. MUHONGO ATANGAZA
TAKWIMU MPYA ZA UMEME
Zimetayarishwa na
NBS, REA, TANESCO
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter


Muhongo (katikati) akibonyeza kingora kuashiria
uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini
Awamu ya Tatu kwa mikoa ya Songwe na Mbeya.
Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,
Amos wa Makalla (wa pili kushoto) na Mwenyekiti
wa Bodi ya Nishati Vijijini, Dkt Gideon Kaunda
(wa tatu kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa REA,
Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga (wa kwanza kulia).

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akitaja takwimu mpya za
umeme nchini wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa
mikoa ya Songwe na Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji cha Ilinga, wilayani Rungwe. Kulia
ni Titus Mwisomba, Meneja Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu UK >>2

Waziri wa Nishati Mkurugenzi Mtend- Mkurugenzi Mkuu wa


Naibu Waziri wa Nishati na Naibu Waziri wa Nishati na aji wa TANESCO,
na Madini, Profesa Madini, anayeshughulikia Madini anayeshughulikia REA, Dk. Lutengano
EU yachangia bilioni 15 miradi ya Umeme Vijijini
Sospeter Muhongo Madini Stephen Masele Nishati, Charles Kitwanga
Mhandisi Felchesmi
Mramba
Mwakahesya UK
>>4

JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4


Ofisi ya M awasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
kwa ajili ya News Bullettin hii ya Wizar a ya Nishati na Madini
Ofisi ya Mawasiliano Serik alini inapokea habari za matukio mbalimbali
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
kwa ajili ya News Bullettinau Fika hii
Ofisina Jarida laGhorofa
ya Mawasiliano Wizarya
a Tano
ya Nishati
(MEM) na Madini
Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263
au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: badra77@yahoo.com
NewsBulletin
Habari za nishati/madini

2
http://www.mem.go.tz

Machi 24 - 30, 2017

PROF. MUHONGO ATANGAZA TAKWIMU MPYA ZA UMEME


Na Teresia Mhagama, Kuhusu utekelezaji wa Miradi ya hanga alisema kuwa Wakala huo 2019 jumla ya vijiji 755 katika mikoa
Mbeya Umeme Vijijini, alisema kuwa katika umeendelea kutekeza kazi ya
usambazaji umeme vijijini katika
hiyo vitakuwa na umeme ambayo
ni sawa na asilimia 89 ya vijiji vyote.

W
kila mwaka wa Fedha, kila mkoa
aziri wa Nishati hupewa vijiji vya kuunganishwa na Mkoa wa Mbeya na Songwe Aliongeza kuwa vijiji 92 vilivyobaki
na Madini, huduma ya umeme huku dhamira ambapo mpaka sasa katika vijiji 847, vitaanza kusambaziwa umeme
Profesa Sospeter ikiwa ni kusambaza umeme kwenye tayari vijiji 451 vina umeme ambayo kuanzia mwaka 2019.
Muhongo vijiji vyote Tanzania ambavyo ni ni sawa na asilimia 53. Mkandarasi atakayehusika
ametangaza zaidi ya 12,000. Alisema kuwa REA III itapeleka na usambazaji wa umeme katika
takwimu mpya za kiwango cha Alisema kuwa katika miradi umeme katika vijiji 304 vya mikoa mikoa hiyo ni kampuni ya STEG
utumiaji wa umeme nchini ambazo hiyo ya umeme vijijini, Serikali hiyo ambapo hadi kufikia Machi, International ya Tunisia.
zinaonesha kuongezeka kwa fursa za imenunua vifaa mbalimbali kama
matumizi ya umeme kwa wananchi. nguzo, nyaya na transfoma hivyo
Takwimu hizo alizitangaza wananchi hawatalipia vifaa hivyo
wilayani Rungwe mkoani Mbeya, wakati wa utekelezaji wa mradi bali
tarehe 20 Machi, 2017 wakati wanachopaswa kulipia ni shilingi
akizindua Mradi wa Usambazaji 27,000 tu ya kuunganishiwa umeme.
Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa Vilevile, alisema kuwa bajeti
mikoa ya Mbeya na Songwe. iliyotengwa kwa ajili ya usambazaji
Takwimu hizi zimetayarishwa umeme vijijini nchini ni zaidi ya
na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) shilingi Trilioni moja ambazo ni
kwa kushirikiana na Wakala wa fedha za ndani na nje ya nchi.
Nishati Vijijini (REA), Shirika la Kwa upande wake Mkuu wa
Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla
na Wizara ya Nishati na Madini, alipongeza juhudi za usambazaji
alisema Profesa Muhongo. umeme vijijini na kueleza kuwa
Alisema kuwa hadi kufikia vijiji 247 vya mkoa huo tayari
Desemba 2016, fursa ya kutumia vimeshapata umeme na katika REA
umeme nchini (overall National III, vijiji 238 vitapata umeme na
access level) imeongezeka hadi kubakiwa na vijiji 8 tu.
kufikia asilimia 67.5 kutoka asilimia Makalla, alitoa ombi kuwa vijiji
10 ya mwaka 2007. hivyo 8 vitakavyosalia, viwekwe
Aliongeza kuwa fursa ya kutumia katika mradi huo wa usambazaji
umeme vijijini imeongezeka na umeme vijijini Awamu ya Tatu ili
kufikia asilimia 49.5 kutoka asilimia vijiji vyote viwe na umeme kama
2 ya mwaka 2007 na kwa mijini fursa ilivyo kwa makao makuu zote za
ya kutumia umeme imeongezeka wilaya katika mkoa huo ambazo
hadi kufikia asilimia 97.3. zinapata huduma ya umeme.
Tunaposema fursa katika Aidha alitoa ombi kwa Wizara
tawimu hizi, tuna maana kuwa na TANESCO kumaliza kero
umeme umefika sehemu fulani na ya kukatika mara kwa mara
wakati wowote ukihitaji kuwekewa kwa umeme mkoani humo
unaupata, hicho ni kipimo cha kunakotokana na matengenezo
kwanza kinachotumika duniani ya miundombinu ya umeme ili
wakati wa kuandaa takwimu Mbeya iwe na nishati ya uhakika Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla (kulia) akizungumza wakati
za umeme na kipimo cha pili itakayokidhi mahitaji ya majumbani wa uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu
kinachotumika ni cha idadi ya watu na viwanda. kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji
waliofungiwa umeme, alisema Naye Mkurugenzi Mkuu wa cha Ilinga, wilayani Rungwe. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini,
ProfesaMuhongo. REA, Mhandisi Gissima Nyamo- Profesa Sospeter Muhongo.

Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter
Muhongo (mwenye koti
la Bluu), Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya, Amos wa
Makalla (kushoto kwa
Waziri) na watendaji
kutoka Wakala wa
Nishati Vijijini (REA),
Wakala wa Ukaguzi
wa Madini (TMAA) na
viongozi wa kijiji cha
Ilinga wakifurahia
uzinduzi wa Mradi wa
Usambazaji Umeme
Vijijini Awamu ya Tatu
kwa mikoa ya Songwe
na Mbeya.
NewsBulletin 3
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 24 - 30, 2017

MRADI WA BOMBA LA
MAFUTA GHAFI, MAJADILIANO
YANAENDELEA
TAHARIRI
TULIAHIDI, TUNATEKELEZA
Mwezi Machi mwaka huu kuanzia tarehe 6
tumeshuhudia Uzinduzi wa Kitaifa wa Mradi
Kabambe wa Usambazaji Umeme Vijini Awamu ya
Tatu (Densification) katika Mikoa mbalimbali nchini.
Tayari uzinduzi wa mradi huo umefanywa na
Viongozi Waandamizi wa Wizara katika Mikoa
ya Tanga, Dodoma, Mara, Pwani, Iringa, Mbeya
na Songwe na utaendelea katika Mikoa mingine Hivi karibuni Mawaziri wa Nishati wa Serikali za Tanzania na Uganda
nchini kulingana na makubaliano ya Mikataba walikutana nchini Uganda ili kujadili maendeleo ya utekelezaji wa Mradi
wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi
na Wakandarasi, unaokwenda sambamba na
Bandari ya Tanga, Tanzania, linalojulikana kama East African Crude Oil
kuwatambulisha wakandarasi kwa mikoa husika ikiwa
Pipeline (EACOP).
ni pamoja na katika Serikali za Mitaa. Lengo la mkutano huo lilikuwa ni kutekeleza maelekezo ya Marais Dkt.
Kimsingi, uzinduzi huo unaashiria kuanza kwa John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Rais wa
Utekelezaji wa REA III ambao unafanywa na jamhuri ya Uganda, Yoweri Mseveni, yaliotolewa wakati wa ziara ya kikazi
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na ya Rais Museveni nchini Tanzania, Marais hao waliwaelekeza Mawaziri wa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambapo Wizara husika kukamilisha majadiliano ya Serikali kuhusu mradi huo kwa
unatarajiwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka haraka ili kuwezesha ujenzi wa Mradi kuanza mara moja.
mitano hadi mwaka 2021. Wengine walioshiriki mkutano huo ni Mawaziri wa Fedha na Ardhi wa
REA Awamu ya III unatarajia kumaliza kazi ya Uganda na Tanzania, Wanasheria Wakuu, Makatibu Wakuu na Wakurugenzi
kuunganisha huduma ya umeme katika vijiji 7867 wa Sheria, Ardhi, Nishati wa Tanzania na Uganda na Makampuni
nchini ambavyo viliachwa katika Awamu ya Kwanza yanayowekeza katika mradi wa bomba hilo. Makampuni hayo yenye hisa
na ya Pili ambayo utekelezaji wake utafikisha jumla ya katika visima vya mafuta nchini Uganda ni Total (France), CNOOC (China) na
vijiji 12,262 Tanzania Bara vilivyofikiwa na huduma ya TULLOW (UK).
umeme ifikapo mwaka 2021. Tayari kazi za awali za maandalizi ya ujenzi wa mradi zinaendelea ikiwemo
Kama ambavyo Serikali kupitia Wizara ya Nishati Utafiti wa matumizi ya udongo, maandalizi ya utafiti wa ndani ya maji mahali
na Madini iliahidi kuanza utekelezaji wa REA, itakapojengwa ghati ya kushusha mafuta na maandalizi ya ufatifi wa masuala
hatimaye REA III imeanza kutekelezwa. ya mazingira na athari zake katika jamii.
Vivyo hivyo, Wakandarasi wote watakaotekeleza Mradi wa bomba la EACOP, unatajwa kuwa mradi mwingine wa kihistoria,
mradi husika wanapaswa kutekeleza majukumu na unatarajiwa kugharimu kiasi cha Dola za Marekani Bilioni 3.55, urefu wa
yao kwa kuzingatia umuhimu wa huduma hiyo kwa kilomita 1,443 na uwezo wa kusafirisha mapipa 200,000 kwa siku. Mradi
maendeleo ya nchi ili hatimaye kama Taifa liweze utakuwa na Manufaa kwa Taifa ikiwemo kutoa ajira za muda Mfupi na Mrefu
kuingia katika uchumi wa Kati na nchi ya Viwanda na pia kuongeza vyanzo vya kodi kwa Taifa.
kutokana na mchango wa sekta ya Nishati. Serikali zote mbili zinatarajiwa kukutana tena jijini Dar es Salaam tarehe
Vilevile, tunapenda kutoa rai kwa wananchi wote 28 Machi, 2017 ili kukamilisha hatua ya mwisho ya majadiliano ya kusaini
kuhakikisha wanalinda miundombinu kwa kwani makubaliano ya kuendeleza mradi huo.
serikali imetumia gharama kubwa kuwekeza katika
ujenzi wa miundombinu ya umeme.
Tukumbuke kuwa, adhma ya Serikali ni
KWA HABARI PIGA SIMU Five
kuhakikisha kuwa, inapeleka umeme katika vijiji vyote kitengo cha mawasiliano Pillars of
nchini ikiwa ni umeme wa uhakika jambo ambalo
Reforms
pia litawezesha mapinduzi ya viwanda vidogo vidogo
kuanzia ngazi za vijiji na pia kuchochea shughuli TEL-2110490
nyingine za kiuchumi.
Aidha, suala la umeme mwingi halina shaka FAX-2110389 increase efficiency

MOB-0732999263
Quality delivery
kutokana na kukamilika kwa baadhi ya miradi ya Njia of goods/service
za Usafirishaji umeme wa Msongo Mkubwa wa kV
400. satisfAction of
the client
Hakika kwa hili, tunatoa pongezi kubwa kwa Bodi ya uhariri
Viongozi, Watendaji na Watumishi wa Wizara ya satisfaction of
Nishati na Madini, REA na TANESCO kwa kazi Msanifu: Lucas Gordon business partners
Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
kubwa ya kuwaunganisha Watanzania na huduma Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of
muhimu ya umeme. Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders
Habari za nishati/madini

4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 24 - 30, 2017

UMOJA WA ULAYA WACHANGIA


BILIONI 15 MIRADI YA UMEME VIJIJINI

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Gissima Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani (katikati),
Nyamo-Hanga (Kushoto-waliokaa) na Mwakilishi kutoka Wizara ya akizungumza na Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya (Kulia) pamoja
Fedha na Mipango, anayeshughulikia Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya na baadhi ya viongozi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Wizara
(EDF), Goodlove Stephen (Kulia-waliokaa), wakitiliana saini Mkataba ya Fedha na Mipango na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) (Kushoto),
wa Msaada wa Euro milioni 6.5 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) na Euro katika hafla ya kutiliana saini Mkataba wa jumla ya Euro milioni 8,
milioni 1.5 kutoka Serikali ya Tanzania, kusaidia Mfuko wa uendelezaji ambazo kati yake, Euro milioni 6.5 zimetolewa na EU na Euro milioni
Miradi ya Umeme Vijijini. Wanaoshuhudia ni viongozi mbalimbali 1.5 zimetolewa na Serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kusaidia Mfuko wa
kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Wizara ya Fedha na Mipango na uendelezaji miradi ya Umeme Vijijini. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni
REA. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni Makao Makuu ya Wizara, mjini Makao Makuu ya Wizara, mjini Dodoma.
Dodoma.
Na Veronica Simba Nawahamasisha wananchi wa
Dodoma maeneo hayo wajiandae kuupokea Mradi
husika kwa manufaa yao na Taifa kwa

U
moja wa Ulaya (EU) ujumla, alisisitiza.
umetoa Euro milioni Alisema kuwa, Mradi huo
6.5 ambazo ni sawa na utakaochukua kipindi cha miezi 36
takriban shilingi bilioni kukamilika, utaanzia maeneo yaliyotajwa
15.3 za Tanzania kwa ajili lakini lengo ni kufikia maeneo
ya kusaidia Mfuko wa uendelezaji miradi mbalimbali nchini.
ya umeme vijijini. Kwa upande wake, Mkuu wa
Aidha, Serikali ya Tanzania Mahusiano kutoka EU, Jose Correia
imechangia Euro milioni 1.5, sawa na Nunes alisisitiza kuwa, upatikanaji wa
takribani shilingi za Tanzania bilioni 3.5 umeme ni moja ya sifa muhimu za
hivyo kuwezesha kufikia jumla ya Euro kuwawezesha wananchi kiuchumi. Ni
milioni 8 ambazo ni zaidi ya shilingi kwa sababu hiyo, Umoja wa Ulaya kwa
bilioni 18 za Tanzania. kushirikiana na Serikali ya Tanzania,
Mkataba wa msaada huo, ulisainiwa tunalenga kuhakikisha kuwa wananchi
hivi karibuni baina ya mwakilishi wa EU wanapata umeme wa uhakika na wa
bei nafuu ili waweze kukabiliana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani (Kulia)
na Serikali ya Tanzania, Makao Makuu
changamoto ya kuondoa umaskini. akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), mara baada
ya Wizara ya Nishati na Madini, mjini
Naye mwakilishi kutoka Wizara ya hafla ya kutiliana saini Mkataba wa jumla ya Euro milioni 8, ambapo
Dodoma.
ya Fedha na Mipango, Goodlove Euro milioni 6.5 zimetolewa na EU na Euro milioni 1.5 zimetolewa
Akizungumza katika hafla ya utiaji
Stephen alisisitiza kuwa, Tanzania inao na Serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kusaidia Mfuko wa uendelezaji
saini mkataba huo, Naibu Waziri
mkakati wa muda mrefu wenye lengo la Miradi ya Umeme Vijijini. Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu
wa Nishati na Madini, Dk. Medard anayeshughulikia Nishati, Dkt Juliana Pallangyo na Naibu Katibu Mkuu
Kalemani alieleza kuwa, fedha hizo kutosheleza mahitaji ya ongezeko la idadi
ya watu inayokua kwa kasi ili kuiondoa anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe.
zitatumika kujenga Kituo cha kupoza
umeme wa kilovolti 220/33 wilayani nchi katika umaskini.
Kilombero Mkoa wa Morogoro pamoja Inakadiriwa kuwa, usambazaji wa
na miundombinu ya kusambazia umeme umeme unatakiwa kuongezeka na kufikia
katika Wilaya za Kilombero na Ulanga. megawati 10,000 ili kuendana na ukuaji
Naibu Waziri alifafanua kuwa, wa uchumi unaotakiwa kuibadilisha
msaada huo uliotolewa ni kutoka Mfuko Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati
wa Maendeleo wa Ulaya (European ifikapo mwaka 2025. Msaada huu kutoka
Development Fund EDF) ambao Umoja wa Ulaya utasaidia kuharakisha
unalenga kusaidia Ukanda wa Kilimo mipango husika, ikiwemo lengo la
Kusini mwa Tanzania. Nia hasa ni kuongeza uunganishaji umeme kufikia
kuwezesha mazingira ya mapinduzi ya asilimia 75 ifikapo mwaka 2025.
kilimo endelevu kwa Ukanda huo. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa
Dkt. Kalemani alieleza zaidi kuwa, Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Gissima
Mradi huo utawasaidia wananchi Nyamo-Hanga, alibainisha kuwa
wanaojishughulisha na kilimo hususan Mpango-Mkakati wa miaka mitano wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani (katikati),
katika Wilaya za Ifakara, Kilombero REA (2016/17 2020/21) unalenga akiushukuru Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutoa msaada wa Euro milioni
na Ulanga kutokana na upatikanaji wa kuwezesha azma ya Serikali kuhakikisha 6.5 ambazo ni sawa na takriban shilingi bilioni 15.3 za Tanzania kwa
umeme wa uhakika katika maeneo yao vijiji 7,873 nchini, ambavyo havijapata ajili ya kusaidia Miradi ya Umeme Vijijini. Kulia ni wawakilishi wa EU na
na hivyo kuwa kichocheo kikubwa kwa umeme, vinapatiwa huduma hiyo kufikia Kushoto ni Viongozi mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Madini,
uchumi wa viwanda. mwaka 2021. Wizara ya Fedha na Mipango na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 24 - 30, 2017

WASEMAVYO WABUNGE KUHUSU UMEME VIJIJINI


Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) unaendelea katika Mikoa mbalimbali hapa nchini. Hivi
karibuni, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani alifanya uzinduzi huo mkoani Mara. Hafla hiyo ya
uzinduzi ilihudhuriwa pia na wabunge mbalimbali kutoka Mkoa huo na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Nishati na Madini. Wabunge hao walisema yafuatayo:

Salamu zetu zimfikie Mheshimiwa Rais John Magufuli na Waziri


wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. Serikali inafanya
vizuri sana kwenye masuala ya umeme vijijini. Mnatusaidia sana
katika maeneo yetu.

BONIFACE MWITA, MBUNGE WA BUNDA (CCM)

Nishati ya umeme ni muhimu sana kwa maendeleo ya watu wetu. Kitu pekee
kinachoweza kuwafanya wananchi wasihame kutoka vijijini kwenda mjini ni umeme.
Ninafurahi kuona fursa kama hii kwa wananchi wetu kupelekewa umeme vijijini ili waweze
kufanya kazi za uzalishaji kule vijijini. Naishauri Serikali isimamie umeme upatikane
haraka zaidi ili wananchi waanze kufanya kazi za uzalishaji. Tutengeneze ajira vijijini.

John Heche, Mbunge wa Tarime Vijijini (CHADEMA) na Mjumbe wa


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini

Naomba wananchi wa Bunda mlinde miundombinu ya umeme na kutodai


fidia. Miundombinu ya umeme ni ghali sana. Serikali inapoteza hela
nyingi sana. Tusichome nguzo. Kuiba mafuta ya Transfoma iwe mwiko.

Ally Kessy, Mbunge wa Nkasi (CCM) na Mjumbe wa Kamati


ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini

Naishukuru Serikali kutoa kipaumbele kwa Mkoa wetu. Kati ya ile


Mikoa 10 iliyopewa kipaumbele katika huduma ya umeme vijijini katika
awamu ya I ni pamoja na sisi. Ni imani yangu tutaendelea kushirikiana
na Serikali ili kuhakikisha tunawaletea wananchi wetu maendeleo.

Vedastus Mathayo, Mbunge wa Musoma Mjini (CCM)

Kwa niaba ya wananchi wa Mwibara, wewe Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
tufikishie salamu zetu kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli na kwa Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na kwako wewe mwenyewe, Dk Medard Kalemani.
Mmetutendea haki wananchi wa Mwibara kutusambazia umeme. Tunaomba awamu hii, vijiji
vyote vilivyobaki vipate umeme. Mwibara tunategemea zaidi uvuvi. Wananchi wa Mwibara
wakipata umeme wa uhakika, watachochea maendeleo ya uchumi kupitia uvuvi.

Kangi Logola, Mbunge wa Mwibara (CCM)

IMEANDALIWA NA VERONICA SIMBA


Habari za nishati/madini

6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 24 - 30, 2017

DK KALEMANI AZINDUA REA III MARA, DODOMA


Na Veronica Simba - utakuwa kichocheo kikubwa katika
Bunda kusukuma maendeleo, alisisitiza.

N
Vilevile, Naibu Waziri
aibu Waziri alibainisha kuwa, lengo la Serikali
wa Nishati na ni kuwapatia wananchi wote
Madini, Dkt umeme pasipo kubagua aina ya
Medard Kalemani, makazi wanayoishi. Mahali
amezindua Mradi popote mwananchi anapoishi,
wa Umeme Vijijini Awamu ya ndipo tutakapomtundikia umeme.
Tatu (REA III), katika Mikoa ya Hatutajali ni nyumba ya nyasi au
Mara na Dodoma. ya ghorofa.
Katika Mkoa wa Mara, Akifafanua zaidi, alisema kuwa,
uzinduzi ulifanyika mwishoni mwa ili kufanikisha azma ya Serikali
wiki katika Wilaya ya Bunda, Kijiji kupeleka umeme katika maeneo
cha Mariwanda na kuhudhuriwa yote, Wizara ya Nishati na Madini
imebuni mikakati mbalimbali Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (mwenye miwani-
na viongozi mbalimbali wa katikati), akibonyeza kitufe maalum kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi wa
Serikali, Wabunge na wananchi ikiwa ni pamoja na kuunganisha Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) kwa Mkoa wa Mara. Wanaoshuhudia
ilhali mkoani Dodoma uzinduzi umeme wa jua au umeme jadidifu ni baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Mara, baadhi ya wajumbe wa Kamati ya
ulifanyika katika Kijiji cha Kigwe, kulingana na hali halisi ya mahali Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mwalimu
Wilaya ya Bahi. husika. Lydia Bupilipili na wananchi.
Akizungumza na wananchi Sambamba na uzinduzi huo,
kwa nyakati tofauti katika hafla Naibu Waziri aliwatambulisha
hizo za uzinduzi, Dk Kalemani kwa wananchi na viongozi wa
alibainisha malengo ya REA III Mikoa husika, Wakandarasi
ambapo alisema kuwa lengo la watakaotekeleza Miradi hiyo,
kwanza la Mradi huo kabambe ili kurahisisha ufuatiliaji wa
ni kupeleka umeme kwenye utekelezaji wa kazi zao pamoja na
vitongoji vyote ambavyo vijiji vyake kuwapatia ushirikiano stahiki.
vimeshapata umeme. Awali, akitoa hotuba ya
Katika Mradi wa REA II, utangulizi katika hafla hizo za
tulikuwa tunapeleka umeme katika uzinduzi, Mkurugenzi Mkuu
Kituo tu cha Kijiji, siyo Kijiji chote. wa Wakala wa Nishati Vijijini
REA III itafika katika vitongoji (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-
vyote. Hanga aliwataka wananchi
Naibu Waziri alitaja lengo watakaounganishiwa umeme
jingine la REA III kuwa ni kukamilisha utandazaji wa nyaya
kupeleka umeme kwenye vijiji katika nyumba zao mapema ili
vyote ambavyo havijapata umeme. mkandarasi atakapofika katika Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati), akifurahia
Sambamba na hayo, alibainisha maeneo yao, wawe tayari kulipia na pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Mara, baadhi ya wajumbe wa
malengo mengine kuwa ni kuunganishiwa umeme. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mkuu wa Wilaya ya Bunda,
kupeleka umeme kwenye Taasisi Aidha, alibainisha kwamba, Mwalimu Lydia Bupilipili na wananchi, baada ya kukata utepe kuashiria
zote za umma na nyingine zilizo kwa nyumba ambazo utandazaji uzinduzi rasmi wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) kwa Mkoa
wa Mara. Uzinduzi ulifanyika katika Kijiji cha Mariwanda, Wilaya ya Bunda.
rasmi hata kama siyo za umma. wa nyaya utakuwa haujakamilika,
Taasisi hizo ni pamoja na wananchi wanaweza kuomba
Vituo vya Afya/Zahanati, Misikiti, kufungiwa kifaa cha Umeme
Makanisa, Masoko, Shule pamoja Tayari (UMETA) ambacho
na Taasisi nyingine muhimu. hakihitaji nyumba nzima
Pia, kwenye mitambo ya maji, kutandazwa waya.
alifafanua. Mhandisi Nyamo-Hanga
Aidha, aliwashukuru aliwaomba watendaji katika
wananchi kuitikia Mradi huo Serikali za Kata na Vijiji,
wa Serikali ambao alibainisha kubainisha maeneo maalum ya
kuwa utatekelezwa ndani ya viwanda ambayo katika mradi
kipindi cha miaka minne hadi huo yatafikishiwa miundombinu
mitano. Hata hivyo, aliwataka ya umeme mkubwa ili kuwezesha
wananchi kuutumia umeme wajasiriamali vijijini kupatiwa
watakaounganishiwa katika umeme utakaowezesha
shughuli mbalimbali za kiuchumi. kuanzishwa kwa viwanda vidogo
Tunapenda sana umeme huu vidogo na vikubwa vijijini kwa
utumike kwenye shughuli za kilimo gharama nafuu.
hususan kilimo cha umwagiliaji, Gharama ya utekelezaji wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani, (kushoto),
kuendeshea mitambo ya maji, Mradi wa REA III kwa Mkoa wa akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mwalimu Lydia Bupilipili, kifaa cha
lakini hata kuanzisha viwanda Dodoma ni shilingi bilioni 75 na Umeme Tayari (UMETA) kwa niaba ya wananchi wake wakati wa hafla ya
vya kati ili kukuza uchumi wetu. kwa Mkoa wa Mara ni shilingi uzinduzi wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) kwa Mkoa wa
Tunaamini kuwa umeme huu bilioni 41.15. Mara.
NewsBulletin 7
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 24 - 30, 2017

Prof. Muhongo azindua REA III Iringa


Na Teresia Mhagama utasaidia kutekeleza Dira ya Maendeleo

W
ya mwaka 2025 ambapo ili nchi iwe
aziri wa Nishati na ya kipato cha kati kufikia mwaka huo,
Madini, Profesa lazima umeme utumike katika sehemu
Sospeter Muhongo mbalimbali kama vile kwenye viwanda,
amezindua mradi wa mashamba, majumbani, huduma
usambazaji umeme za kijamii na katika ufugaji ili kuleta
vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika mageuzi ya kiuchumi katika Sekta hizo.
mkoa wa Iringa ambapo jumla ya vijiji Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa
194 vitaunganishwa na huduma ya wa Iringa, Amina Masenza, alisema
umeme hadi kufikia mwaka 2021. kuwa tayari vijiji 160 katika mkoa
Mradi huo utatekelezwa katika huo vina nishati ya umeme na mkoa
vipindi viwili tofauti ambapo sehemu ya unaendelea kuandaa mazingira kwa ajili
awali itahusisha upelekaji umeme katika ya mradi wa REA wa Awamu ya Tatu, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa kwanza
vijiji 162 kwa gharama ya shilingi bilioni ili utakapoanza maeneo yote muhimu
yapate umeme na kuutumia. kulia) akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Image wilayani Kilolo
47.4 na inatarajiwa kukamilika mwezi (hawaonekani pichani) kabla ya kuzindua Mradi wa Usambazaji Umeme
Machi 2019. Alisema kuwa, changamoto iliyopo
Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika Mkoa wa Iringa. Kulia kwa Waziri ni
Sehemu ya Pili ya mradi huo itaanza mkoani humo katika Sekta ya Nishati
Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-hanga na wengine
ya umeme ni uharibifu wa mazingira
kutekelezwa baada ya sehemu ya ni Watendaji wa kampuni zitakazohusika na usambazaji wa umeme
katika vyanzo vinavyopeleka maji katika mkoani Iringa, Namis na Nakroi.
kwanza kukamilika ambapo jumla ya
mabwawa ya kuzalishia umeme suala
vijiji 32 vitapatiwa umeme na kufanya
ambalo wanalishughulikia ili kutunza
vijiji vyote vya Mkoa huo kuwa na
vyanzo hivyo.
umeme. Aidha aliishukuru Wizara kwa
Akizindua mradi huo katika kijiji cha kuendelea kusambaza umeme vijijini hali
Image wilayani Kilolo, Profesa Muhongo inayoleta faida mbalimbali katika vijiji
alisema kuwa miradi ya REA III ina hivyo ikiwemo kuongezeka kwa kipato
vipengele vitatu vya utekelezaji ambapo cha wananchi.
kipengele cha kwanza kinahusika na Mbunge wa Kilolo, Venance
kuendelea kusambaza umeme katika Mwamoto alishukuru kwa uzinduzi
maeneo yenye miundombinu ya umeme huo kufanyika wilayani humo kwa kuwa
ambapo utekelezaji umeanza katika wilaya hiyo inachangia katika uzalishaji
mikoa Sita na ni endelevu. wa umeme nchini kwani ina vyanzo
Alisema kuwa kipengele cha pili vitano vinavyopeleka maji katika Bwawa
kinahusika na kufikisha umeme katika la kuzalisha umeme la Kihansi.
maeneo ambayo hayajafikiwa na Aidha aliiomba Serikali kusambaza
Gridi ya Taifa na kipengele cha Tatu umeme katika vijiji ambavyo havikupata
kinahusika na kusambaza umeme umeme katika mradi wa REA Awamu Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati)
kwenye maeneo ambayo ni vigumu ya Pili. akikata utepe ili kuzindua Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini
kufikiwa na huduma ya umeme wa gridi Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Iringa. Kulia kwa Waziri ni
Uzinduzi huo ulifanyika tarehe Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza.
kama vile milimani na visiwani ambapo 21 Machi, 2017 ambapo kampuni
watapata umeme kwa kutumia nishati zitakazohusika na usambazaji wa
jadidifu. umeme mkoani humo ni Namis na
Alisema kuwa upatikanaji wa umeme Nakroi.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisalimiana na


Mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah (kushoto) wakati alipofika katika Baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Image mkoani Iringa wakimsikilia
kijiji cha Image wilayani Kilolo ili kuzindua mradi wa usambazaji umeme Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani)
vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Iringa. Kulia ni Mkuu wa wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa usambazaji umeme vijijini
mkoa wa Iringa, Amina Masenza Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Iringa.
Habari za nishati/madini

8 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 24 - 30, 2017

ZIARA YA DKT. KALEMANI MKOANI DODOMA, MARA


Naibu Waziri wa
Nishati na Madini,
Dkt. Medard
Kalemani (katikati),
akifunua kitambaa
kilichofunika jiwe
la msingi, kuashiria
uzinduzi rasmi wa
Mradi wa Umeme
Vijijini Awamu ya
Tatu (REA III) kwa
Mkoa wa Mara.
Wanaoshuhudia ni
Mkuu wa Wilaya ya
Bunda, Mwalimu
Lydia Bupilipili,
baadhi ya wabunge
wa Mkoa wa Mara,
baadhi ya wajumbe
wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge
ya Nishati na Madini
na wananchi.

Timu ya wafanyakazi wa Mkandarasi aliyeshinda zabuni kuunganisha Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kulia),
umeme vijijini Awamu ya Tatu (REA III) kwa Mkoa wa Dodoma. akiwazawadia na kujumuika kucheza na kikundi cha ngoma kutoka
Mkandarasi aliyeshinda zabuni hiyo ni Mrisho Masoud wa Kampuni ya Bunda kilichokuwa kikitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa
O.K Electrical & Electronics Services Ltd. Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) Mkoa wa Mara.

Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa


kwenye hafla ya uzinduzi wa Mradi wa
Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III)
katika Mikoa ya Dodoma na Mara.
NewsBulletin 9
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 24 - 30, 2017

TANESCO WATAKIWA KUWASHIRIKISHA WANANCHI


UTEKELEZAJI MIRADI YA USAMBAZAJI UMEME
Na Rhoda James- Tanga Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt.

K
Mhandisi Juliana Pallangyo aliwataka
amati ya Kudumu Watumishi wa Tanesco na REA
ya Bunge ya Nishati kuzingatia maagizo ya Kamati hiyo
na Madini imelitaka na kuyatekeleza pamoja na kuzingatia
Shirika la Umeme malalamiko mbalimbali ya wananchi
Nchini (Tanesco) wa Kijiji cha Tongoni kama vile
kuwashirikisha wananchi wa maeneo kubadilisha Transforma iliyowekwa na
husika wakati wa utekelezaji wa miradi Mkandarasi wa Sengerema Engineering
ya usambazaji wa umeme. Group Ltd ambayo inalalamikiwa
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti kutofanya kazi vizuri na kusababisha
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge umeme kuwa mdogo.
ya Nshatia na Madini na Mbuge wa Dkt. Pallangyo pia aliwataka
Ludewa, Deo Ngalawe wakati wa ziara Tanesco kuhakikisha kuwa wananchi
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na
ya kamati hiyo iliyolenga kukagua hatua wa Tongoni ambao waliotandaza nyaya Mbuge wa Ludewa, Deo Ngalawa (katikati) mara tu baada ya kufika
iliyofikiwa ya utekelezaji wa Miradi ya za umeme kuunganishiwa umeme katika Kituo cha Hale mkoani Tanga kwa ajili ya Kukagua kituo
Umeme Vijini (REA 11) hivi karibuni haraka iwezekanavyo kwa kuwa hicho ili kujionea hali halisi ya kituo hicho na ukarabati unaotarajiwa
Mkoani Tanga. wameshalipia. kufanyika hizi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uzalishaji
wa Umeme Tanesco, Mhadisi Abdallah Ikwasa pamoja na Meneja wa
Ngalawe alisema Watumishi wa Kwa upande wake Kaimu Meneja Kanda ya Tanga, Mhadisi Stellah Hiza wakiwaongoza kwenda kwenye
Tanesco na Wakala wa Nishati Vijijini wa Shirika la Umeme Nchini mkoani ukumbi wa Mkutano hivi karibuni mkoani Tanga.
(REA) ni lazima wawashirikishe Tanga, Kasim Rajabu alisema Miradi
wananchi katika ngazi zote za ya Umeme Vijijini awamu ya 11 katika
utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa Mkoa wa Tanga imekamilika kwa
umeme vijijini. asilimia 100.
Tumewatembelea wanakijiji wa Miradi hii imekuwa ikitekelezwa
Tongani Mkoani Tanga wananchi kwa wilaya zote nane za Mkoa wa
wanalalamika kutokushirikishwa, Tanga ambazo ni Tanga Vijijini,
washirikisheni maana mtapata maoni Muheza, Korogwe, Handeni, Kilindi,
na mawazo mazuri kutoka kwa Lushoto, Pangani na Mkinga ambazo
wananchi hawa. Alisema Ngalawe. zinapata umeme wake kutoka Gridi ya
Aidha, kwa upande wake Naibu Taifa kupitia vituo vya Hale, Kasiga, na
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Tanga (Majani Mapana.)

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia


Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akielekea kukagua
Kituo cha Hale kilichopo Mkoani Tanga. Kushoto kwake ni Meneja
wa Kanda ya Tanga, Mhandisi Stellah Hiza na Wengine ni Viongozi
Waandamizi kutoka Tanesco.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na


Mbuge wa Ludewa, Deo Ngalawa (wa tatu kutoka kushoto) akikagua
Kituo cha Hale kilichopo mkoani Tanga, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo (mwenye suti nyeusi katikati) akikagua Kituo cha Hale kilichopo Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini
mkoani Tanga. Wengine katika Picha ni Wabunge wa Kamati ya Kudumu wakiwa katika ukumbi wa Hale mkoani Tanga wakisikiliza mtoa mada
ya Nishati na Madini pamoja na Wataalamu kutoka Shirika la Umeme (hayupo pichani), pamoja na Viongozi Waandamizi kutoka TANESCO.
Nchini (TANESCO).
Habari za nishati/madini

10 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 24 - 30, 2017

Tanesco, REA tatueni


matatizo yaliyojitokeza REA II
Na Rhoda James- Tanga

S
hirika la Umeme
Tanzania (Tanesco) na
Wakala wa Nishati Vijijini
(REA), wametakiwa
kutatua matatizo
yaliyojitokeza katika utekelezaji wa
miradi ya REA Awamu ya Pili (ii) ya
Umeme Vijijini kabla ya kuendelea
na utekelezaji wa REA Awamu ya
Tatu.
Agizo hilo lilitolewa hivi karibuni
na Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Nishati na
Madini na Mbunge wa Ludewa, Deo Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini pamoja na Wanakijiji wa Tongoni
Ngalawa wakati wa ziara ya kamati wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini (hayupo pichani) katika
kijiji cha Tongoni mkoani Tanga.
hiyo ya siku tano mkoani Tanga na
Dar es Salaam kwa lengo la kukagua Ngalawa aliitaka TANESCO na uwezo wake na kutaka Transfoma pili.
utekelezaji wa miradi ya REA REA kutatua matatizo ya Awamu zinazotumika ziwe imara ili kuondoa Aidha, kwa nyakati mbalimbali
Awamu ya Pili ya Umeme Vijijini ya Pili ambayo ni pamoja na tatizo la malalamiko toka kwa wananchi. Ngalawa aliwapongeza Wafanyakazi
hivi karibuni mkoani Tanga. Transforma ambazo zinatafautiana Wananchi wengi wanalalamika wa Tanesco kwa kuendelea kufanya
umeme kuwa mdogo, hili tatizo kazi nzuri katika kituo cha Hale
linatokana na Transforma kuwa ambapo aliridhishwa na kazi yao
tofauti na ni lazima Transforma pamoja na kuwa miundombinu na
ziwe imara ili kuepusha tatizo hilo. mitambo ya kituo hicho ni ya zamani
Alisema Ngalawe. na kutoa wito kwa Shirika la Umeme
Pia aliongeza kuwa tatizo lingine Nchini kuharakisha utekelezaji
ni pamoja na kutofikiwa kwa umeme wa Ukarabati wa Kituo hicho
kwa kaya ambazo zipo ndani ya unaotarajia kuanza mwezi Septemba
mradi wa umeme vijijini awamu ya mwaka huu.

Viongozi Waandamizi kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) na


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) pamoja na Wanakijiji wa Kijiji cha
Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo akisaini kitabu cha wageni Tongoni mkoani Tanga wakimsikiliza Kaimu Meneja wa Tanesco
katika kijiji cha Tongoni mkoani Tanga mara baada ya kuwasili katika wakati akiwasilisha mada kuhusu Miradi ya Umeme mkoani Tanga
kijiji hicho. (hayupo pichani).
NewsBulletin 11
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 24 - 30, 2017

HAFLA YA UZINDUZI WA REA III IRINGA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa tatu kulia mstari wa nyuma) pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya
pamoja kabla ya kuzindua mradi wa usambazaji umeme vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika mkoa wa Iringa. Wa nne kulia ni Mkuu wa mkoa wa
Iringa, Amina Masenza, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na wa tano kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Nishati Vijijini, Dkt Gideon Kaunda. Waliosimama mbele ni Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana wa Jamii ya Kimasai wilayani Kilolo.

01 03

PICHA 1:

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Dkt Gideon Kaunda akizungumza

02 na Wananchi wakati wa Hafla ya uzinduzi huo, uliofanyika katika kijiji


cha Image wilayani Kilolo mkoani Iringa. Kushoto ni Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
PICHA 2:

Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga (wa kwanza


kulia), Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa pili
kulia), Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto (wa tatu kulia) wakisoma
maombi ya wananchi ya kuunganishiwa umeme katika Mradi wa
usambazaji umeme vijijini Awamu ya Tatu, katika hafla hiyo.
PICHA 3:

Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-hanga (wa kwanza


kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Dkt Gideon Kaunda (wa pili
kulia) na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto (wa kwanza kushoto)
wakiwa pamoja na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana wa Jamii ya
Kimasai wilayani Kilolo ambao pia watafaidika na mradi wa usambazaji
umeme vijijini Awamu ya Tatu (REA III).
Habari za nishati/madini

12 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 24 - 30, 2017

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA


BUNGE YA NISHATI NA MADINI, GEITA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ipo Mkoani Geita waandamizi na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi
kwa ziara ya siku nne Machi 21 hadi Machi 24, 2017 ya kutembelea miradi zake
mbalimbali ya Nishati pamoja na baadhi ya migodi ya Madini. Kamati hiyo tayari imetembelea migodi ya dhahabu ya Blue Reef na
Katika ziara hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati husika, Doto Buckreef Gold Company Limited iliyopo Rwamgasa na Miradi ya Umeme
Biteko- Mbunge wa Jimbo la Bukombe imejumuisha baadhi ya viongozi Vijijini kwenye vijiji vya Nyakato na Buzirayombo wilayani Chato.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Madini, Profesa James Mdoe (kulia) akifurahia jambo na Mjumbe
anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe (katikati) wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mwantakaje
akizungumza jambo kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Juma (katikati) ambaye ni Mbunge wa Bububu. Kushoto ni Kaimu
Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga (kulia). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),
Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi Ali Samaje. Mhandisi Hamis Komba.

Naibu Katibu Mkuu Wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia


Madini, Profesa James Mdoe (kulia) akizungumza jambo kwenye
Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, na Mkuu wa Mkoa wa Geita (hawapo pichani). Wengine ni Kaimu
John Heche- Mbunge wa Tarime Vijijini (kushoto) akijadiliana Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi Ali Samaje (katikati) na
jambo na Kaimu Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi Ali Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Wachimbaji wadogo,
Samaje. Benjamin Mchwampaka.

Naibu Katibu Mkuu Wa


Wizara ya Nishati na
Madini anayeshughulikia
Madini, Profesa
James Mdoe (kulia)
akizungumza na baadhi
ya Wajumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge
ya Nishati na Madini
mara baada ya kuwasili
kwenye mgodi wa
dhahabu wa Blue Reef
wa Rwamgasa.
NewsBulletin 13
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 24 - 30, 2017

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA


BUNGE YA NISHATI NA MADINI, GEITA

Naibu Katibu Mkuu Wa Wizara ya Nishati na Madini


anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe (kushoto), Kaimu
Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi Ali Samaje (katikati) na
Mmiliki wa Mgodi wa dhahabu wa Blue Reef, Christopher Kadeo Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,
wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Doto Biteko- Mbunge wa Jimbo la Bukombe (aliyesimama)
Nishati na Madini, Doto Biteko- Mbunge wa Jimbo la Bukombe akizungumza wakati wa ziara ya Kamati yake kwenye mgodi wa Blue
(hayupo pichani) wakati wa ziara ya Kamati kwenye mgodi huo. Reef uliopo Rwamgasa mkoani Geita.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakijadiliana jambo wakati wa ziara yao kwenye mgodi wa dhahabu
Innocent Bashungwa- Mbunge wa Karagwe (aliyesimama) wa Blue Reef uliopo Rwamgasa mkoani Geita. Kutoka kushoto ni
akizungumza wakati wa ziara ya Kamati hiyo kwenye mgodi wa Daimu Mpakate (Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kusini), Mbunge wa
dhahabu wa Blue Reef wa Rwamgasa mkoani Geita. Wengine Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ally Kessy, Mbunge wa Viti Maalum Mkoani
waliokaa mbele ni Wajumbe wa Kamati hiyo. Mara, Joyce Sokombi na Mbunge wa Bububu, Mwantakaje Juma.

Baadhi ya wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zilizo chini yake walioambatana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Nishati na Madini kwenye ziara katika mgodi wa dhahabu wa Blue Reef wa Rwamgasa wa mkoani Geita.
Habari za nishati/madini

14 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz

Machi 24 - 30, 2017

HAFLA YA UZINDUZI WA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME VIJIJINI


AWAMU YA TATU (REA III) KWA MIKOA YA SONGWE NA MBEYA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ( wa kwanza Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Kanda ya Nyanda za
kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Dkt Gideon Kaunda (wa Juu Kusini Magharibi, Salome Mkondola (kulia) akizungumza wakati wa
pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-hanga Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu
(wa kwanza kushoto) wakiwa katika Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji cha Ilinga,
Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa mikoa ya Songwe na wilayani Rungwe. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji cha Ilinga, wilayani Rungwe. Muhongo na katikati ni Meneja wa TANESCO Mkoa wa Mbeya, .

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ( wa kwanza


kushoto), akiwatambulisha watendaji kutoka kampuni ya STEG
International (Wa nne mpaka Saba kutoka kulia), kwa Mkuu wa Mbeya,
Amos Makalla (wa tatu kushoto) katika Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa
Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa mikoa ya Songwe na
Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji cha Ilinga, wilayani Rungwe. Wengine Kikundi cha Utamaduni katika kijiji cha Ilinga mkoani Mbeya kikitumbuiza
katika picha ni Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-hanga katika Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya
(wa kwanza kulia) na Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Tatu kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji cha
Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi, (wa tatu kulia). Ilinga, wilayani Rungwe.

Viongozi mbalimbali wakitaza kikundi cha Utamaduni kikitumbuiza wakati


wa Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu
ya Tatu kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. Katikati (nyuma) ni Waziri wa
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ( kulia), akiwa na Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, watendaji kutoka kampuni
Mkuu wa Idara ya Ufundi-TANESCO, John Issa ambaye ameshika kifaa ya STEG International (waliovaa Wa Nne mpaka Saba kutoka kulia), Mkuu
kiitwacho Umeme Tayari (UMETA) ambacho hufungwa kwenye nyumba wa Mbeya, Amos Makalla (wa tatu kulia), Mkurugenzi Mkuu wa REA,
ndogo bila kuhitaji kusuka nyaya za umeme ndani ya nyumba, elimu Mhandisi Gissima Nyamo-hanga (wa pili kushoto) na Meneja wa Shirika la
kuhusu kifaa hicho ilitolewa kwa wananchi katika Hafla ya uzinduzi wa Umeme Tanzania (TANESCO), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi,
Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa mikoa ya Songwe (wa kwanza kushoto) na wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati
na Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji cha Ilinga, wilayani Rungwe. Vijijini, Dkt Gideon Kaunda.
NewsBulletin 15
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Machi 24 - 30, 2017

Anda mungkin juga menyukai